Nadhani mke wangu anamegwa usiku huu...

Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye chembe za busara atakayeegemea imani yake kwa mkewe au mumewe kwenye mazingira kama hayo. Kwa ufupi huyo mke ana elements za ukicheche.

Kumbe jibu unalo, na wewe huenda hiyo guest uliyofikia umelala na mhudumu wa bar! lolz, ngoma droo-kula toti mbili nafsi itatulia-waambie wakumbuke kuvaa condom tu.
 
Jamani,

Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.

Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?

Hapana jipe moyo tu endelea na kazi labda alipitiwa na usingizi ndo maana hakupokea
 
Huyu mtu anaekutafuta lazima alale kwako kama haupo ? Na huwezi kuzungumza nae kwa simu makamaliza mambo ikawa si lazima aje wakati wewe haupo. Kitu kimoja ni muhimu sana kuzingatia katika ndoa ; kwanza ni kuaminiana, pili ni kuepukana na mambo yanayoweza keleta mashaka katika ndoa yaani jiepushe kuwa na mtu asie mkeo au mumemeo mahali ambako nyie muko wawili peke yenu - shetani lazima ataingia kati.
 
Jamani,

Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.

Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?[/
QUOTE]

ukiendekeza itikadi hiyo ya kuruhusu kurushwa roho kiasi hicho utakonda aisee na mwisho wake utaharibu hata kazi za watu.kama humuamini to that extent then piga chini tafuta jiko lingine.
 
ebana hapo kuna kamchezo katakuwa kamefanyika..we c umeona ile topic ya yule aliyemega demu wa rafiki yake..
 
Jamani,

Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo....

Tatizo nini?? hata mkeo akimegwa huna haja ya kuhangaika sijui kupiga simu mara kukaa pressure juu 100%. Kitu muhimu ukitoka hiyo safari yako wife wako atakusafishia na atakutengea kitumbua na maisha yataendelea. Watu mnaleta mawivu yasiyokuwa na mpango bure. Hakuna mita ya luku pale mazee eti utakuta units zimepungua....
 
:teeth:
 
jamani,

mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. Lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.

Jamani kuna usalama hapo, au ndio nimekuwa bushoke?

mmwagie pilipili ya maji ukiona anapiga kelele anawashwa ujue kamegwa ukiona kimya apigi kelele huyo wako pekeako wala usituletee mafisi jf
 
Jamani,

Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.

Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?
pole.mkuu lazima atakuwa ana megwa kwanin ajakuambia huyo mgeni ni nani na katoka wapi na.kwanin asirudi kwao pia huyo demu anaonekana hakupend ni ngekuwa.mim.nishazimia
 
Hahaha mkuu ashaliwa huyo pole sana ndo maisha haya alafu leo uambie vijana waoe watakucheka sana
 
Back
Top Bottom