ukifa kwa mipresha ndo atamegwa fresh, relax Papaa...wewe endelea na shughuli zako, hata akimega hawezi kuinyofoa akaondoka nayo.
Unajitisha bure tu. Usiku mwema.
ukifa kwa mipresha ndo atamegwa fresh, relax Papaa...wewe endelea na shughuli zako, hata akimega hawezi kuinyofoa akaondoka nayo.
Unajitisha bure tu. Usiku mwema.
Blaza hapo imekula kwako. Umeoa kicheche ndugu yangu. Pole sana maana huenda mkeo anam ride jamaa mida hii au analamba koni. Na lawama zote abebe huyo mkeo kicheche kwa kutoa kitumbua chake kwa hiyo njemba. I feel your pain lol
duu kaka mbona umetoa hukumu kabla ya kupata premises za kutosha?
msitoe maneno makali ivo pasipo jua inn n out ya nanan uyo jamaa ilikuwaje....na kwaniuni usuimwamin mwnamke wako?kwanini uamin hajafanya lolote?una mapungufu?sa kwanini aruke tu na mgen KM UNAVYODHAN?
pbm ni wewe kutojiamin kaka+dzain una wivu sana ndo mana kila kitu unazan unamegewa
kaak kev punguza maneno makali thwitiiii si vyema kumclosia chapta demu bila kujua whats hapened
thak u.
Sio bushoke unataka kua ZOBA. Acha uoga wewe muamini wife wako, kwa nini usiwaze tatizo jingine ukimbilie kumegwa? Aliekwambia kumegwa kunazuia kupokea sim nani? Mtu anamegwa na sim inapokelewa vilevile.Jamani,
Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.
Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?
Sio bushoke unataka kua ZOBA. Acha uoga wewe muamini wife wako, kwa nini usiwaze tatizo jingine ukimbilie kumegwa? Aliekwambia kumegwa kunazuia kupokea sim nani? Mtu anamegwa na sim inapokelewa vilevile.
I wonder what the world would be like if we all had such off-the-wall attitude(s) like this. Heheheheeee
Ndoa anaivunja mwenyewe kwa ma wivu na mawazo yake mabaya juu ya mkewe, yeye anawaza mkewe anamegwa, je mkewe anajua yeye anafanya nini huko safarini? Inaonekana ye ndo anamega vicheche huko aliko. Mfanya hufanyiwa, teh teh teh.jamani acheni kutoa maushauri msiyokuwa na uhakika nayo,mna ushahidi kuwa huyu dada anamegwa,msivunje ndoa za watu ambazo hamjui zimejengwa kwa gharama gani
Jamani,
Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.
Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?
Halafu we kevin haya makidhungu yako bwana pungua wengine hatuelewi
yap i do undstand mke si wako we umechangia tuSista, sijui mimi ndio nimekuelewa vibaya au wewe ndio hukuelewa vizuri. Anayehisi kumegewa si mimi bali ni huyo mwanzisha mada. Mimi nilikuwa natoa maoni yangu tu kulingana na jinsi mada ilivyoletwa. Na ni maoni yangu tu ambayo yanaweza kabisa yasiwe na chembe ya ukweli hata robo.
Kama tundiko langu limekukwaza basi samahani. Kukwaza mtu haikuwa dhamira yangu. Nadhani nimeeleweka.
Halafu wewe...hebu njoo hapa tuangalie movie. Kuna bonge la movie linaendelea humu leo....😉) tehtehteh
yap i do undstand mke si wako we umechangia tu
bt ulivyoconclude as if una uhakika kabisa uyo mke wa jamaa amefanya sivyo...na uyo jamaaa y hajiamin?
its ok then
mambo ingne niaje?ave a nice j1 ma dea brada.....ol da best
Poa basi mtu njoo tucheki ya mastelingi watatu. Njoo na bisi kabisa. Utangulizi ni La Tormenta En El Paraiso....lol
ndoa zina matatizo kweli hizi!!!