Nadhani Mbowe siyo gaidi

Hivi nyie nyumbu gang shule mlienda kusomea ujinga? Ina maana hamjui kwamba mahakama ni muhimili unaojitegemea?
Yawezekana unajitegemea kama ilivyo mihimili mingine, ila umezidiwa na mhimili wa serikali. Hata JPM aliwahi kusema hayo. Yaani yote ni mihimili lakini mmoja ndio unalisha mingine - kwa hiyo......
 
Kikubwa umoja wa ulaya kupitia yule mwamba mjeshi mstaafu wanaupiga kwelikweli niswala lamuda tu
 
Kikatiba inatakiwa iwe hivyo ila kiuhalisia! Sio hapa kwetu Tanzania, au umesahau kwamba kuna mhimili umejichimbia chini zaidi?
Kumbuka wote hao Majaji wameteulia na Rais, so atatawaburuza atakavyo.
Hii kesi haiwezi kufutwa sababu ya principle,, alichosaidia tu, amefanya iwexe kwenda haraka na hivyo haiwezi kuchukua miaka 5,lakini eti kuamuru kesi ifutwe hilo halitawezekana kamwe,, vumilieni tu
 
Too late, too little. Mwache Mbowe apambane na kesi. Samia atajijua na Hali yake. Aidha napingana na wewe kuhusu faida na hasara. Kesi hii ina faida sana kwa taifa kuliko hasara.
 
 
Nyumbu mama yako aliyezaa toto linaloingiliwa kinyume cha maumbile kama wewe, ndiyo maana hata avatar yako umeweka mtu anayeingiliwa. Shame. Hata mods nawashangaa kuiacha avatar ya mtu anayeingiliwa.
Lool...!

Kwa maelezo haya ilibidi nikaitazame avatar yake huyu Kiturilo na kumuona mwanamke mrembo amelala chali. Sasa sijui ndiye yeye huyo Kiturilo anaingiliwa..!
 
Seriklai ya CCM ina hamu na UGAIDI, itaupata tu, aombacho mtu hupewa au sivyo ndugu zangu ? Kenyatta anaujua - ni balaa kubwa !!

Cheki mziki huu hapa, huu ndiyo UGAIDI, siyo ugaidi wa Rau Madukani na Mishikaki na Mo Enegry na GPO. - we're not serious na mambo yetu.

 
Mpaka hapa mh. Rais kwa kauli yake kupitia BBC amedhamiria kumfunga Mbowe kwa faida anazozijua yeye na CCM yake. Mimi na wewe hatuoni faida lakini yeye na CCM extremist anajua faida yake.
1. Kwa nini wamemtoa jaji nje ya Dar kwa mamilioni ya pesa?
2. Kwa nini mashihidi ni polisi tu?
3. Kwa nini kulikuwa na utesaji?
4. Kwa nini polisi walewale ni waliokamata same, rau, tabora na mwanza?
5. Kwa nini waliokuwa wanapora pesa na sabaya ndio mashahidi kwenye kesi hii na wanalipwa?
6. Kwa nini Mbowe ananyimwa chakula jela kwa maelekezo ya juu, na mh. Rais anajua na hajakemea?
7. Nani alibariki watuhumiwa wafichwe Tazara na Mbweni na kuteswa?
8. Kwa nini jaji analipwa mamilioni ya pesa kwa siku wakati ni kazi yake?
9. Kwa nini mashahidi wa jamhuri ushahidi wao una mashaka mengi mno na unaonesha ni wa kutungwa
10. Kwa nini jaji hachukui hatua kwa mapolisi waliosema uongo mahakamani huku wakiwa wanatoa ushahidi kwa kuapa?
 
Ngoja tusubir hiyo tarehe 14,Ila ni Mambo ya aibu sana,unamteka na kumtesa mtu ili kutimiza matakwa ya mtu Fulani,daah Mungu aingilie Kati kwakweli tena kabisa wanamtaja Mahakaman wakati wa Kuapa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…