Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Picha Ya Kifua Changu ni Maalum Kwa Niliyenae Mkuu Ingawa Anakiharibu Kwa Meno

Basi pole sana kijana,jitahidi kumlaza mitindo ambayo mdomo wake utakuwa mbali na mwili wako.BTW kesi yako sio mara ya kwanza kuisikia hivyo mvumilie tu.
 
Ee bwana, usije ukajaribu kumpa mic ahutubie,
ukijaribu na akafika kileleni ndo tutakuwa
tumekukosa jukwaani.
 
Tafuta vest (singlend) ambayo ni teethproof uwe unavaa. Kama ukiikosa kuna zile wanashoneaga Dereva bodaboda kuzuia upepo uwe unavaa mkianza tu gemu
 
Umenifanya niangue kicheko kikubwa ndg pole sana cha kufanya badili njia au hiyo staili inayo kujerui usiitumie tena kama ulipoacha ziwa la mama yetu
 
umepata vampire aka zombie...ila mi nakushauri vumilia tuu ikibaki mifupa hawez tena kufanya hvyo
 
Mh vaa na element ukiwa kwenye mech ipo cku atakutoboa macho mh hamna raha sasa hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom