Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

images

Bila Shaka huyo atakuwa na pepo ndani yake
 
Mvalishe Kofia ngumu ya waendesha pikipiki zinazoziba hadi mdomo wakati mkianza tu faragha.
 
Ahsante Mkuu.. Yaani Inafikia Kipindi Naogopa Hata Kumpa Mic Yangu Akafanyie Show na Hata Inapohitaji Nimfanyie Msaada wa Kuitafuta Chumvi huwa nafanya kwa Mashaka Sana
Mkuu hasara nyingine ya mbuzi kagoma au msaada kwenye tuta utaishia kuwa unanunua magodoro kila mara
SINA IMANI NA UKAWA
 
Mapepo mahaba..nia yao ni kukukinaisha umwache huyo dada! Kuna case wengine wanazimia..wanajikojolea nk...ila yote hayo ni karaha za hayo mapepo asije pata mme..maana kwa hali hiyo hakuna atakaevumilia..kama unampenda..msaidie akaombewe...
 
Ndiyo ufikaji wao, wengine wanamudu kujicontrol wengine hawawezi kama huyo wa kwako. Uwe unamvalisha cover ya meno ili asikujeruhi, ni ya material rubber hivi!!

Duh kama watu wanaingia ulingoni, hahahahah hahahahah mapenzi haya!
 
Cha msingi kutafuta zile anazovaaa mayweather,man pac au cheka kwenye mdomo bila hivyo utakuwa na mabaka mabaka kama vile mfua vyuma
 
Tengeneza banda lisilo na kitu ndani, mkiingia ndani mwendo ni doggystyle ang'ate sakafu!!
 
Mapepo mahaba..nia yao ni kukukinaisha umwache huyo dada! Kuna case wengine wanazimia..wanajikojolea nk...ila yote hayo ni karaha za hayo mapepo asije pata mme..maana kwa hali hiyo hakuna atakaevumilia..kama unampenda..msaidie akaombewe...

Ahsante Mkuu Nitaufanyia Kazi Ushauri Wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom