Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 11,319
- 25,831
Wale jamaahesabu zao sio za level hii. N mikopo yao n dhaman unachukua unaposhikwa kwelikweli hujali. Mkopo wa miezi mitatu riba unakita 50%. Usikute jamaa analipa milion 5 alikopeshwa milion 3 n lki 6.Uliangalia interest, time na fees unazolipa, tuanzie hapo, weka number zote tukusaidie
N hapo kachelewesha mwezi mmoja kila akinipapatua anacjeza mulemule. Yan unskuta anaenda kszin anapata hela anakuja kuwapa wao wamekaa tu, akifanya utani atalipa hiyo milion 5 akaimaliza na kwq sbab ya kujivuta kwa den lile na kulipa kidgo kidogo riba imejiongeza deni limerudi pale pale. Yani unalipa mdpgo mdogo mpaka mlion 5 inaisha ukiliangalia deni lilobakia ni milion 5 ileile.hawaon tabu kupigia riba hata kwa siku wale