hangahanga
Senior Member
- Feb 9, 2015
- 128
- 6
Hapo nadhani wanakutaka uapply tena.Mm hawajaniwekea hivyo.Nacte wameshindwa kuweka wazi kama tcu
aliyekutana na hiki anipe jibu namna ya kufanya kimenitokea baada ya kuclik Futa machaguo(reset choice) ni yale maandishi mekundu!!
Ndugu apo watakua wamekupa option uchague upya au uache hivyo hivyo na ktk kuchagua upya huenda ktk hizo nafasi zilizopo ulizochagua labda zingine zimejaa na haujachaguliwa hivyo ukifanya choice upya baadhi ya vyuo ambavyo vimejaa vitatoweka na ikiwezekana ata baadhi ya course zilizojaa zitatoweka hivyo ukifanya choice upya huna budi kukubaliana na vyuo na course utakazozikuta. Na kuna uwezekano ni lazima ufanye machaguo upya huenda selection zao za mwanzo hukua selected ndio maana wanakupa hizo option, lakini ni mawazo yangu tu labda watu wanaofahamu zaidi watujuze au wapigie nacte
Nacte simu zao huwa kazi xana kupokelwwa ngoja nijarbu kuwasiliana nao!.
Watafute muda mzuri mapema mapema mfano kuanzia saa tatu asubuhi then baada ya lunch kuanzia saa nane hadi saa kumi hivi
ok poa ila daa jina unalotumia lina ukakasi xana!!
Profile yangu sioni sehemu ya kuedit,hiyo inamaanisha nini
Naombeni ni ulize iv kwa watu wanaotoka diploma wanapata mikopo? maana kuna wengine wanasema mikopo inatolewa kwa wanaotoka f6 plz anaejua
Naombeni ni ulize iv kwa watu wanaotoka diploma wanapata mikopo? maana kuna wengine wanasema mikopo inatolewa kwa wanaotoka f6 plz anaejua
mbona watu washaanza kuchaguliwa mkuu....nna washkaj zangu tumemaliza diploma Arusha Tech mmoja kapangiwa electrical st joseph na wengine wawli udom...jamani hii imekaa vp,! Ndo kusema baada ya tareh 16 Oct ndo watoe selections,! au,!?
Tujulishane jaman wana JF maana dah,? tumesubiri sana na wenzetu fleshers TCU mambo yako poa,! sie tuliopitia NACTE inakuaje wadau,!
mbona watu washaanza kuchaguliwa mkuu....nna washkaj zangu tumemaliza diploma Arusha Tech mmoja kapangiwa electrical st joseph na wengine wawli udom...
muwe mnaangalia haya majina wanayotoa vyuoni wakuu.
iv wanavoongeza muda wat about walioapply mwanzoni sana inamaana watatoa waliopata au watasubr mpk iyo tar 16 awa wanatuchanganya tu sa iz
wameniandkia hivyo je nifanyaje?? Je nikianza upya system haiwezi kunikatalia MSAADA WANA JF??
we umesma OD wap? kama nakufahamTeh teh teh!! Unaweza ita hivi "unayejiita boyfriendy"