jamani hii imekaa vp,! Ndo kusema baada ya tareh 16 Oct ndo watoe selections,! au,!?
Tujulishane jaman wana JF maana dah,? tumesubiri sana na wenzetu fleshers TCU mambo yako poa,! sie tuliopitia NACTE inakuaje wadau,!
Watu wa diploma baadhi tuko in service, lakin hawa waheshimiwa wame-extend sana muda,,
Nahis wangetoa selection round ya kwanza, then hiyo deadline tar 16 Oct ikawa 2nd round,,,
Lakin ngoja tuvumilie,,,
xo mm nimeandikiwa futa anza upya(continue Application) kwenye profile yangu afu wala sielewi nianzeje upya wakati sjui nilichokosea!! msaada kwa Anaefahamu!!
Ingekuwa kwa wote wangerudisha ile sehemu ya kuedit programmes.Kama hawajaweka hivyo it means umechaguliwa katika chuo kimojawapo kati ya ulivyoomba,jambo la msingi ni kuingia kwenye web za vyuo kuangalia kama watakuwa wameshachagua wanafunzi.Haina haja ya kuogopa
Mi pia hakuna mabadiliko yoyote kwenye profile. Vp watu wa diploma waliopata nafasi udsm waliomba kupitia nacte pia? Kuna nafas chache nimeona wamepata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.