NACTE ni wasumbufu sana na hii taasisi haina msaada

NACTE ni wasumbufu sana na hii taasisi haina msaada

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
519
Reaction score
336
Walifungua dirisha la kuapply vyuo vya ualimu wakasema mwisho tarehe 21/11/016 chakushangaza central admission ili long in haifunguki na wala hairuhusu kufanya application na deadline kesho

Huu ni usumbufu sana
 
Walifungua dirisha la kuapply vyuo vya ualimu wakasema mwisho tarehe 21/11/016 chakushangaza central admission ili long in haifunguki na wala hairuhusu kufanya application na deadline kesho huu ni upuzi sana
mkuu bora kusamehe tu unaweza kupoteza pesa yako bure!huenda ukawa utapeli wa mwisho mwisho kwa sababu mwaka ujao kazi hiyo itafanywa na NECTA,
 
Walifungua dirisha la kuapply vyuo vya ualimu wakasema mwisho tarehe 21/11/016 chakushangaza central admission ili long in haifunguki na wala hairuhusu kufanya application na deadline kesho huu ni upuzi sana

Soma tangazo vizuri so kulalamika bila data system ipo wazi kwa wale wanaotaka kuhama mpaka 21/11 na kwa wa aoomba ualimu ni mpaka tarehe 27/11 mie nimetoka kumfanyia mtu hapa mbona iko powa.
 
Back
Top Bottom