NACTE mnatuumiza jamani

NACTE mnatuumiza jamani

Hapana kaka chuo utapata! Natoka nacte hivi ni kweli form zipo nyingi so wamezipanga kimafungu mafungu nadhani kwa kila chuo so zinafanyiwa kazi, kwa mujibu wa mdau pale kaniambia hadi j5 wote ambao hamjapata mchek profile. Ikifika alhamis hajabadilishiwa basi ujue umekosa so uende chuo cha mwanzo. Nilichoona pale ni kwamba kuna baadhi ya vyuo waombaji ni wengi sana so itategemea na nafasi. Ila kwakua fomu yako unasema ilikua na barua ya chuo basi kidogo inakua na uhai flani. Hope utapata.

Mmmmmmh may be tuombe mungu ila mi binafsi naona mfumo huu wa CAS bado una changa moto nyingi
anyway tuwaachie wao mwisho wa siku wataamua
 
nackia wale wote ambao profile zao hazijabadilika ni kwamba wamekosa uhamisho ivo inawapasa waende ktk vyuo vyao vya mwanzo. Cna uhakka ni TETESI WADAU wang.
 
Me profile yangu imesoma kuwa nimeamishwa kwenda CUHAS..ila nimenda hadi mwanza wananambia hawajapokea jina langu kutoka tcu.. sm stranded right here..and this is not fair!
 
Me profile yangu imesoma kuwa nimeamishwa kwenda CUHAS..ila nimenda hadi mwanza wananambia hawajapokea jina langu kutoka tcu.. sm stranded right here..and this is not fair!

Pole brother hata mimi nimehanishiwa Cuhas ila nimepiga simu jina halijafika as well may be wanampango wa kuyatuma kwa pamoja wakishamaliza process za transfer
msala unakuja kwenye muda wa masomo jamaa hawatusubiri si ndio kutafutiana sup za mapema huku lol my COUNTRY
 
Print page ya profile yako inayoonesha umekuwa transferred to then ka waoneshe chuo Hiko kipya Ndio confirmation hiyo
 
Print page ya profile yako inayoonesha umekuwa transferred to then ka waoneshe chuo Hiko kipya Ndio confirmation hiyo

Ofcourse nayo ni njia pia hapa swala ni kuwahi pindi sidhani kama wakati wa Continues Assesment exams kutakua na excuse kua Nacte/Tcu wamekuchelesha kuripoti hapa ni kuchanganya ulizonazo na za kuambiwa ukiwafuata hao nacte na tcu huchelewi kujitafutia Sup za mapema
 
jmni mm nimepata transfer juzi alhamisi na Jana ijumaa nimetoka kudeposit transfer fee nisubiri mda gani jina langu halijafika chuoni ndo nifuatilie???
 
jmni mm nimepata transfer juzi alhamisi na Jana ijumaa nimetoka kudeposit transfer fee nisubiri mda gani jina langu halijafika chuoni ndo nifuatilie???
Jamani hv nacte bado wanapokea maomba ya transifer?? Nijuzeni wana jf maana nipo bush sijui lolote na nahitaji kufanya transfer.
 
majina waliyotoa saivi wameandika ndo final batch ndugu sasa sielewi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom