Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Habari wakuu. Sisi tuliopata vyuo wengine tuliomba transfer na tayari profile zetu zimeonesha kwamba tayari tumeshahamishwa.
Nimekwenda kuripoti chuo kipya nilichopangiwa naambiwa jina halipo hivyo wanasubir tcu watume majina. Wiki ya pili sasa inakatika hayo majina hayajafika chuo mbaya zaidi watu wamesha anza masomo.
Tunaumia kwa kweli na sioni sababu kwa nini majina yasipelekwe kwa wakati ukizingatia sasa hivi tupo zama za digital.
Hivi inawachukua wiki ngapi hayo majina kutoka pale nacte mwenge hadi udsm! Wekeni hata tangazo kwamba tunachotakiwa kufanya ni kitu gani kwa sasa mana vyuo havitutambui na hatujui tufanye nini.