NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

oK asante. Nimeangalia vyuo vyote almost all ni private with certificate training of which is not my priority.
Mkuu hujaona vyuo vya serikali mfano ,musoma Cotc,maswa Cotc etc ? Wenyewe bado kutoa ? Mpaka lini ?
 
msaada jamani eti nacte kuna uwezekano wa kuongeza vyuo vya afya na kama wasipo ongeza je ni lini watafungua tena pamoja na ongezeko la vyuo vya afya
 
Wakuu Kuna mdogo wangu anataka abadilishe chuo asomee computer science mnaweza npe info nikamchekie maana sisi wengine hatujasoma vyuoni kabisa so process hatuelew
 
Wakuu Kuna mdogo wangu anataka abadilishe chuo asomee computer science mnaweza npe info nikamchekie maana sisi wengine hatujasoma vyuoni kabisa so process hatuelew
Anasoma kozi gani ? Yupo mwaka wa ngapi ? Lete taarifa kamili
 
Msaada tafadhali,aliyehitimu form four 2009 anaweza kuaply afya mwaka huu,form six 2012.
 
Back
Top Bottom