NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Leo 23/01/2017 nacte walisema watafungua dirisha la udahili kwa ngazi ya cheti na diploma mpaka sasa hivi kwenye website yao hakuna jipya matangazo ni ya mwaka Jana tu na hata guide book hawajatoa ya mwaka wa masomo huu 2017/18 .

Nacte msitufanye sisi hatuna akili hii taasisi ina ubabaishaji sana.
 
haaa watu wanataka kwenda m diploma wapate mkopo wajameni haya mazaga lakini tarehe zitabadilishwa angani
 
Leo 23/01/2017 nacte walisema watafungua dirisha la udahili kwa ngazi ya cheti na diploma mpaka sasa hivi kwenye website yao hakuna jipya matangazo ni ya mwaka Jana tu na hata guide book hawajatoa ya mwaka wa masomo huu 2017/18 .

Nacte msitufanye sisi hatuna akili hii taasisi ina ubabaishaji sana.
Ndo kwanza january siku haijaisha wanaweza toa hata saa tano usiku bado wako sahihi
 
guys kwa mlio isoma guide book ya course za afya by nacte mbona radiography si ioni au mwaka huu awachuki au ufafanuzi kwa anaejua juu ya hilo.
 
Msaada
Nahitaj kuacha course nisomayo kwa sasa na kuchukua course nyingine vipi nitachaguliwa au itakua vumbi tu
 
Back
Top Bottom