NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

Mie ndoto zang n kugonga IT kwa sanaaa kiongoz ,,,Uwalim n kaz nzur sawa lakin kusoma Kitu usicho penda n kama kujitafutia kufail badae,,,
Was was wangu n kwamba hivi sasa ninalipiwa na loanboard course hii nisomayo(special dip) in sec,mathematics an ICT,na nataka kusoma diploma in computer engineering sasa Nahc naweza nisiwe selected pale nitapo apply ,,,,naomba ushaur wenu ,,
Apo unaenda kuanzia certificate baba
 
Kwani kozi gani zitapewa mkopo mwaka huu nina mdogo wangu yuko diploma ya IT mwaka wa kwanza atapata
 
Mie ndoto zang n kugonga IT kwa sanaaa kiongoz ,,,Uwalim n kaz nzur sawa lakin kusoma Kitu usicho penda n kama kujitafutia kufail badae,,,
Was was wangu n kwamba hivi sasa ninalipiwa na loanboard course hii nisomayo(special dip) in sec,mathematics an ICT,na nataka kusoma diploma in computer engineering sasa Nahc naweza nisiwe selected pale nitapo apply ,,,,naomba ushaur wenu ,,
Ualimu unahitaji moyo
 
Wadau me ata sijui nichague course gani KwA kweli [emoji19] [emoji19]
 
Ngoja nisubiri mwezi wa nne tu,dah!hakuna kozi za Civil,electrical wala Mechanical Engineering!

🙁 🙁
 
Kuna kitu nataka kufanya, nataka kubadilisha fani! Nikiomba system itanikubali maana sasa niko chuoni nilichaguliwa mwaka jana! Is this possible au ni kwa wale ambao hawakujisajili mwaka jana
labda uandike barua ya kuacha chuo utolewe kwenye system Yao vinginevo haiwezekani
 
Mkuu tutachaguliwa kweli ambao tuliapply mwaka Jana tukachaguliwa then tukashindwa kwenda chuoni ?
mzee wa giningi kwanza kabisa habari za kitambo!kuhusu kuchaguliwa wala usihofu kabisa,kinachotakiwa ni pesa ya udahili tu!
 
Na wale tuliomaliza diploma tukiwa na ufaulu wa chini ya 3.5 G.P.A tumewekwa fungu gani??
 
Back
Top Bottom