k29
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 742
- 1,264
Natumaini wote ni wazima wana jukwaa la elimu.
Kilicho nitokea mpaka kuweka huu uzi ni kwamba sijui kuna tatizo gani NACTE jumapili ya tareh 31 mwez wa July kwenye profile langu la CAS kupitia NACTE nilipewa taarifa kuwa nimekubaliwa kujiunga na chuo cha MUST na nilikuwa confirmed. Sasa cha kushanga leo jumatatu ya tarehe 1 August nikaingia tena kwenye profile nikakuta kihoja eti kwamba sijachaguliwa kwa hiyo ni subiri selection dah hapo ndo nilipo choka wana jamvi.
Naombeni msaada wenu wa kimawazo na nini cha kufanya kwasababu hawa NACTE wamenivurugua kwa kweli. Natanguliza shukran zangu