Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Najiuliza hivi no ambazo NACTE mmeziweka kwamba tukiwa na matatizo tupige ni mapambo tu au sio kwa ajili ya kutusaidia sisi?
Haiwezekani nikipiga mara hazipatikani na zikipatikana hazipokelewi.
Je! Mnataka wote tuje ofisini? Hata wa mikoani tuje ofisini?
Email hamjibu, simu hampokei kwa nini?
!
!
idara nyingi mno za selikali zina huduma mbovu mno kwa wateja....wamejisahau kwa vile watu hawana altenatives