NACTE customer care kuna tatizo gani?

NACTE customer care kuna tatizo gani?

matc

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
260
Reaction score
45
Najiuliza hivi no ambazo NACTE mmeziweka kwamba tukiwa na matatizo tupige ni mapambo tu au sio kwa ajili ya kutusaidia sisi?
Haiwezekani nikipiga mara hazipatikani na zikipatikana hazipokelewi.
Je! Mnataka wote tuje ofisini? Hata wa mikoani tuje ofisini?
Email hamjibu, simu hampokei kwa nini?
 
mkuu jitahidi kuna mda huwa wanapoke mimi mara zote nilizo wahi kuwapigia na walinipa ushirikiano wa kutosha usichoke mkuu mbona hata email kwangu walijibu.
 
Duuuuuuuu hata email umejibiwa?

Kila nikipiga no yao ya ttcl hawaipokei na zle za voda na Airtel hazipatikani kabisa
 
kwan ww upo wap kama n dar why ucwatimbie pale kwao.
 
Hivi mashirika ya serikali kweli yana customer care?? Mimi najua customer care service iko ktk private organisation haswa kama mteja hayupo ktk location ilipo Taasisi, Serekalini ni uvundo uvundo
 
Necta wanayo.
 
Pole. Hata usiongelee landline pekee. Ongelea simu ya mkononi pia. Juzi nilikutana na Chamshama (mlezi wa COTCs) pale DITF nikamwambia tatizo hilo. Kwamba, PRO wao asiyepokea simu yake ya mkononi anapaswa kufukuzwa kazi. PRO anaitwa Nkuliye simu yake ni 068581810*. Ni tatizo kweli. Nkuliye alinipa email yake nikampe maswali ambayo nilihitaji majibu kutoka kwake. Mpaka leo kimya. Chamshama naye alinipa simu ya mkononi (078459043*), lakini naye hajawahi kuipokea call yangu au kujibu sms yangu hata moja. NACTE kuna tatizo la kiuongozi. Sijui Magu hana informers wake pale?
 
Nacte ni msjambazi wakubwa ndo maana hawapokei simu na matatizo hayo yapo pia TCU nimewapigia cm mara nyingi mpaka ikanilazimu nipande niwapandie gari niwa tafute huko huko. Halafu nacte waturudishie pesa wasitake kutuibia
 
Mie i have different opinion hapa. Hivi baadala ya kuandika haya yote na malalamiko tele yasiyoleta msaada ungezungumza tatizo lako linalokufanya uwapigie simu hapa si tungekuwa tumeshakusaidia kutatua? Maana kama unapiga simu kueleza hawapokei simu unafikiri nani anaweza kupokea simu za namna hiyo? Vilevile kuna info za kutosha kwenye website yao kwenye mfumo wa application na guidebooks kuna email yote hayo umeshayatumia ukaona hakuna msaada. Weka namba yako hapa ili waweze kukutafuta basi am sure watakutafuta tu kwa malalamiko haya.
 
Hivi mashirika ya serikali kweli yana customer care?? Mimi najua customer care service iko ktk private organisation haswa kama mteja hayupo ktk location ilipo Taasisi, Serekalini ni uvundo uvundo

Mkuu customer care ipo tena sana ila wananchi huwa tuna itumia vibaya. Wengi tunapenda longonlongo badala ya kufanya utafiti kwenye jambo tunalotaka kujua kwanza ndio baadae tupige simu kuuliza tusipo elewa matokeo yake tuna anza kuuliza hata ambayo yana majibu. Kwa hivyo hakuna atakae penda kuongeza na simu kwenye mambo ya msingi.
 
Kuuliza yenye majibu?? watu tunatofautiana uelewe kama ww umeona jambo unalielewa basi si sote watalielewa customer care ipo kwa ajili ya kufafanua zaidi jambo haijalishi liko vipi,Mimi nimesha sema idara za serikali zimelala sana kwenye upande wa kucare customer ambapo hapo ndio base ya success
 
Mie i have different opinion hapa. Hivi baadala ya kuandika haya yote na malalamiko tele yasiyoleta msaada ungezungumza tatizo lako linalokufanya uwapigie simu hapa si tungekuwa tumeshakusaidia kutatua? Maana kama unapiga simu kueleza hawapokei simu unafikiri nani anaweza kupokea simu za namna hiyo? Vilevile kuna info za kutosha kwenye website yao kwenye mfumo wa application na guidebooks kuna email yote hayo umeshayatumia ukaona hakuna msaada. Weka namba yako hapa ili waweze kukutafuta basi am sure watakutafuta tu kwa malalamiko haya.
Tatizo langu ni password na liko hapa jamvini zaidi ya wki mbili sijapata majibu
 
Mkuu customer care ipo tena sana ila wananchi huwa tuna itumia vibaya. Wengi tunapenda longonlongo badala ya kufanya utafiti kwenye jambo tunalotaka kujua kwanza ndio baadae tupige simu kuuliza tusipo elewa matokeo yake tuna anza kuuliza hata ambayo yana majibu. Kwa hivyo hakuna atakae penda kuongeza na simu kwenye mambo ya msingi.
Utaniambiaje tunaitumia vibaya wakati simu yangu hazipokelewi, wao ndo wanaitumia vibaya
 
Tuambie shida yako tukupe majibu hapa au tatizo ni hiyo customer care maana hata nacte wapo humu pia na wanatoa ufafanuzi wa mambo mengi
 
Humu nimeiwka mara nying
 
binafsi nilichogundua ni kwambA waliowekwa kwenye hzo cmu hawajui chochote kuhusu suala zma la udahili wa wanafunzi na wapga cmu huwa wanawauliza kuhusu masuala hayo so kwakuwa hawajui kitu ndo maana huwa hawapokei simu na ukibahatka kupokelewa cmu yako wanajifanya wanakuunganisha na kitengo cha udahili na blaa blaaa kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom