Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
hahaa ukiwa na gal kama huyo kazi sana,vipi wewe gal wako ana msimamo..
gal wangu wa ukweli ndio maana nikamjaza madini mkononi, hawa ma gal wameranduka kama wanaume wao....wanataka maisha kirahisi wanaishia kutiwa vitanzi huko china.