Naconfess

Naconfess

Una miaka mingapi? This is highly related to your age, just trust me. Ukikuaaaa, hutapata shida ya aina hii tena.

Judging from his "xana" x, x, x writting he is still under Kawambwa and Mulugo's wings..
 
alikuwa wapi siku zote kusema ANABAKWA ndio aje aseme LEO.............,

Sidhani kama kuna haja ya kumwambia best yako ili iweje,wala haiwezi

kumpunguzia maumivu kuwa ulimgegeda dem wake........

Halafu iweje demu wa mshikaji wako aje home kumtembelea wakati jamaa yake hayupo_wanawake/wachumba wa siku hizi kweli pasua kichwa.
 
eti alikuwa ananitega!
unajitambua kweli wewe?
mbona haukuomba ushauri wa kuepuka ulikokuita kutegwa?

sema tu ushamchoka dada wa watu mnafki mkubwa we!
mazima.

Hili sio jukwaa la siasa mkuu! Tutakulima BAN!
 
judging from his "xana" x, x, x writting he is still under kawambwa and mulugo's wings..

aisee mkuu hayo ni mazoea tu hzo xxx hazihusiani na elimu yangu.au kuwa unajua kizungu unajiona umesomaaa?
 
TATZO MKUU me nina gal wangu je akigundua kama natoka na huyo gal atanichukuliaje coz wanaheshimiana n wat bot ma best friend atajckiaje cku akijua kuwa namgegeda mpenz wake

Mbona best yako nae anamgegeda gal wako....halafu nae anang'ang'aniwa kama wewe. Cha kufanya kila mmoja abaki na gal wa mwenzie. Hapo wote mmelamba majoka sasa atakayeanza kumlambisha mwenzie 5 analamba 10 yeye.
 
mbona best yako nae anamgegeda gal wako....halafu nae anang'ang'aniwa kama wewe. Cha kufanya kila mmoja abaki na gal wa mwenzie. Hapo wote mmelamba majoka sasa atakayeanza kumlambisha mwenzie 5 analamba 10 yeye.

mmh nalo neno mkuu
 
Halafu iweje demu wa mshikaji wako aje home kumtembelea wakati jamaa yake hayupo_wanawake/wachumba wa siku hizi kweli pasua kichwa.

MKUU hata me cjajua kuna mda unafkaga huwa najihc hata kutomwamin mpenz wangu.wapo kama vnyonga vle
 
Mbona best yako nae anamgegeda gal wako....halafu nae anang'ang'aniwa kama wewe. Cha kufanya kila mmoja abaki na gal wa mwenzie. Hapo wote mmelamba majoka sasa atakayeanza kumlambisha mwenzie 5 analamba 10 yeye.

hahaa ukiwa na gal kama huyo kazi sana,vipi wewe gal wako ana msimamo..
 
MKUU hata me cjajua kuna mda unafkaga huwa najihc hata kutomwamin mpenz wangu.wapo kama vnyonga vle

ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_dawa sio kutomwamini mkuu,...dawa siku ukihisi tu unaibiwa unammwaga chap_kabla hajaleta madhara ya madharau na presha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom