Naconfess

Naconfess

Wana JF leo nakuja mbele yenu naomben ushauri wenu kuna siri nimekaa nayo mda mrefu sana moyon sasa nahisi nashndwa kuvumilia nimeamua kuitoa.

Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tulitokea kufamiana wakati nikiwa masomoni,ananijali na kuniheshim kama ndugu yake wa damu,nikikwambia ni rafiki tu huwezi amini.

Tatizo ni kwamba huyu best friend wangu ana rafiki yake wa kike(mpenzi) mara nyingi huwa wanakuja kunitembelea nyumbani so imefika kipindi yule mchumba wa rafiki yangu anakujaga peke yake kwangu akaanza tabia ya kunitega kwa vile nilikuwa namheshimu sana best wangu nikawa navumilia mitego ya yule msichana but ikafka kipindi nikashndwa uvumilivu nika DO naye s.e.x.

Kuanzia hapo akaanza kumponda mshikaji maneno kibao ya dharau.Kuna siku ikibidi nimwambie ukwel kuhusu tunavyomfanyia mshikaji kwamba sio vizuri so nikamwambia nataka nimwambie UKWELI BEST YANGU demu akanitishia kwamba nikimwambia basi ATASEMA KWAMBA NILIKUWA NAMBAKA KINGUVU.

Nikajaribu kumwambia mimi nina mchumba na nina malengo naye but shem kang'ang'ania.

Nifanyeje?

Kama uwezo unakuruhusu (pesa), badili dini kama wewe ni mkristo na uoe wote.
 
Ahahaha watu8 ana ashuo la samaki kutaka kupauliwa magamba sijui nimepatia?

Hahaha...kumbe waukumbuka huo msemo eenh...sasa huyu sijui ataka tumpare vipi hebu kamata kichwa tuanze mpara kuanzia mkiani
Btw nimekumiss sana rafiki natumai waendelea vyema wewe na ankal wangu
 
Last edited by a moderator:

shemeji shemeji huku mwazima taaaa loooolz!!
badala umuache demu wa mwenzio eti unataka umwambie
halafu iweje,utakatwa dushe wewe jishaue tu!!

PASSION LADY hahahaha wala yy ndo kazma taa unategemea nn.
 
are you for real?! Basically, what you are saying is "its not your fault, its all her fault" anakuganda, alikutega, anajua una mchumba etc etc. As the saying goes "you two deserve each others". Nawasikitia sana hao wapenzi wenu!

mkuu kabla hujawasikitikia me tayar nafsi yangu inanisuta
 
....kwa hiyo tatizo hasa ni nini?kumuacha huyo damu wa best yako au kumwambia rafiki yako kuwa ulimmegea dame wake?

MKUU tatzo ni kumwacha huyu dem nahc atanivurugia mipango yangu
 
hebu subiri kwanza, before hujamwambia huyo jamaa yako je huyo unae muita mchumba wako umemwambia yote unayoyafanya/uliyoyafanya????confess kwa mchumba wako kwanza upate mziki wake halafu uende kwa huyo jamaa yako ndo utapata akili vizuri. Kwa kifupi wewe na huyo dada mnaendana kwasababu nyoteni wasaliti

mkuu ulisemalo ni kweli but naogopa kumtel mpenz wangu
 
kuna uzi uliuanzisha unadai kuwa mpenzi wako amekuletea malalamiko kuwa lecturer anamtaka, na ukasem hujasoma elimu yako form four, sasa leo unasema mlipokuwa masomoni. Kumbe unatudanganya hata level ya elimu yako. Haya endelea kuvurunda

mkuu kwan ww ukiambiwa masomon unaelewa nn?je nimekwambia nasomea nn.ulza mkuu kuulza co ujinga
 
kuna uzi uliuanzisha unadai kuwa mpenzi wako amekuletea malalamiko kuwa lecturer anamtaka, na ukasem hujasoma elimu yako form four, sasa leo unasema mlipokuwa masomoni. Kumbe unatudanganya hata level ya elimu yako. Haya endelea kuvurunda

mkuu,kuulza co ujinga je umeniulza nasomea nn?
 
kuna uzi uliuanzisha unadai kuwa mpenzi wako amekuletea malalamiko kuwa lecturer anamtaka, na ukasem hujasoma elimu yako form four, sasa leo unasema mlipokuwa masomoni. Kumbe unatudanganya hata level ya elimu yako. Haya endelea kuvurunda

mkuu kuulza co ujinga nn maana ya masomoni?au unatabia ya kukaririsha mambo.ww ndiye moja ya wa2 wanaomin mtu akienda nje basi ulaya kumbe nje inaweza kuwa kenya 2
 
hawa watoto huwa wanaona raha kuanzisha thread na kuona watu wanachangia tu..

unaweza kuwa mtoto wa kwanza katika familia na ukajikuta huheshimiki hata na wadogo zako.wanakuita useless,yatafakari haya maneno yangu utajua tu namaanisha nn baba v
 
mangwea aliwahi kuimba hii kitu kwenye wimbo wake ...ni geto langu tu linalo wachengua maduu... Mangwea anadai kuna madem kibao wa marafiki zake walikuwa wakiwatoroka mabwana zao na kuzama geto kwa msela... Yeye alikuwa anawatafuna bila ajizi

hahahaha mbona me gheto langu la uswaz 2 yaan hata umeme halina choo cha nje tena cha shimo hahaha
 
Ingekuwa ni mimi ndio huyo rafiki yako, na nikabaini huo undumilakuwili wako, ningeanza na NYORO yako kwanza. Baada ya hapo kisasi kingeisha kwa mchumba wako. Yaani jicho kwa jicho.😡
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom