Nachukizwa mno na uvaaji huu

Nachukizwa mno na uvaaji huu

Makalio ndo khabali ya tauni bwana wewe, c umewackia jambo squad,,,'kimbau mbau kanenepa kawa tukunyema lol..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yaani mie najiuliza yaani nipoteze hela yangu kununua nguo nusu au nguo ambayo sawa tu alokua hajavaa iyo kitu hapana wacha tu nivae miguo yangu nipite nafagia....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: ELX
Kiukweli naungana na muanzilishi wa uzi huu, samhani kwa akina dada na akina mama: "Asilimia kubwa ya wanawake wanapokuwa watu wazima au jinsi Elimu ya darasani inapoongezeka uwezo wa kujidhamini kimavazi unapungua, wangekuwa wanaovaa hivyo ni wale wasiosoma ningesema elimu inawasumbua, ila mmmh, kwa sasa uvaaji unaudhi, juzi kati nimekutana na mdada mmoja mrembo kwa muonekano ila alivaa shati tu na bikini kwa ndani, alipokuwa anakaa upepo ukapita yaani hasara kweli ila hakujali. Akatokea jamaa kajifanya kalewa akaenda kumshika paja karibu na kinena kwani lilikuwa wazi na hapo ilikuwa saa 9 jioni! Mbadilike ndugu zetu!
 
Nguo nitavaa ya ndani moja tu jamani joto kali, kwanini nijisundike manguo mengi ili?
Labda hiyo nguo inaonyesha hapo sawa na tatizo mwili wangu nikiubana nawashwa.
Wenye tamaa za kibazazi wanakoma ubishi.
 
Nguo nitavaa ya ndani moja tu jamani joto kali, kwanini nijisundike manguo mengi ili?
Labda hiyo nguo inaonyesha hapo sawa na tatizo mwili wangu nikiubana nawashwa.
Wenye tamaa za kibazazi wanakoma ubishi.
huyo ndio bantu lady bwana
 
Poleni mtembeage macho juu juu kama break ya ndege...
Japo nasis wadada tunazdshaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom