Nachukizwa mno na uvaaji huu

Nachukizwa mno na uvaaji huu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,087
Kina mama na dada zetu sijui saa nyingine wanawaza nini wanapochagua nguo ya kuvaa.

Unajijua kabisa kuwa makalio yako ni tepetepe unavaa chupi tu na gauni au suruali au sketi laini ya kubana , mbaya zaidi nguo yako ya ndani inaonekana wazi kabisa ilimopita na wakati mwingine ikiwa imezama kabisa kwenye mfereji wa makalio ,na wakati huo huo ikionekana kabisa kuwa upande mmoja wakalio imepanda juu na upande mwingine imeshuka chini inachefua mno !!!kwani hamjiangalii kwenye kioo kabla ya kutoka ?
 
show off hizo za mtaani,wakitongozwa kihasara hasara wana lalamika umemshusha hadhi wakati wewe umemuingia kulingana na personality yake..
 
wanajiangalia na wanajiona wako sawa kabisa ndio maana wanatoka
 
Kina mama na dada zetu sijui saa nyingine wanawaza nini wanapochagua nguo ya kuvaa.

Unajijua kabisa kuwa makalio yako ni tepetepe unavaa chupi tu na gauni au suruali au sketi laini ya kubana , mbaya zaidi nguo yako ya ndani inaonekana wazi kabisa ilimopita na wakati mwingine ikiwa imezama kabisa kwenye mfereji wa makalio ,na wakati huo huo ikionekana kabisa kuwa upande mmoja wakalio imepanda juu na upande mwingine imeshuka chini inachefua mno !!!kwani hamjiangalii kwenye kioo kabla ya kutoka ?

Do you have special eyes?? Or what? Halafu kwa mini unaangalia?
 
Kina mama na dada zetu sijui saa nyingine wanawaza nini wanapochagua nguo ya kuvaa.

Unajijua kabisa kuwa makalio yako ni tepetepe unavaa chupi tu na gauni au suruali au sketi laini ya kubana , mbaya zaidi nguo yako ya ndani inaonekana wazi kabisa ilimopita na wakati mwingine ikiwa imezama kabisa kwenye mfereji wa makalio ,na wakati huo huo ikionekana kabisa kuwa upande mmoja wakalio imepanda juu na upande mwingine imeshuka chini inachefua mno !!!kwani hamjiangalii kwenye kioo kabla ya kutoka ?

hapo ndo matatizo kwa mimi mwanaume huanza.......hasa kwenye daladala dah kuna wakati napitiliza hadi vituo maana DUSHE huwa limesimama to the extent nikisimama aibu daaaah mtatuuuuua nyie wanawake kwasababu munatufedhehesha sana yani.
 
lakini mbona umeongelea makalio tu unaoneka unapenda kuyaangalia loh
 
Ndiomaana wanadungwa tu kilakukicha ndani ya dala dala.
 
Kina mama na dada zetu sijui saa nyingine wanawaza nini wanapochagua nguo ya kuvaa.

Unajijua kabisa kuwa makalio yako ni tepetepe unavaa chupi tu na gauni au suruali au sketi laini ya kubana , mbaya zaidi nguo yako ya ndani inaonekana wazi kabisa ilimopita na wakati mwingine ikiwa imezama kabisa kwenye mfereji wa makalio ,na wakati huo huo ikionekana kabisa kuwa upande mmoja wakalio imepanda juu na upande mwingine imeshuka chini inachefua mno !!!kwani hamjiangalii kwenye kioo kabla ya kutoka ?

weka picha pia unapotoa post kam hii.
 
mmmmh!unayaona hayo yote!!achana nao hao wamepinda!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom