Nachukizwa mno na uvaaji huu

Nachukizwa mno na uvaaji huu

wengine tunapenda kuziona hizo ndembendembe ,,,,,,,,,,,,,

waendelee tu mkuu............

ila waangalie kwanza km wanapendeza , kwa maana kuna uvaaji mwingine wanageuka vituko/kichekesho sana........
 
Mleta post..
Ulitaka wavae nini labda,mavaroli ya wapiga rangi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom