Nachukia hii sana......!!

BB kweli inauma kama umejitutumua na kuangusha mistari ya maana ila nadhani wengi wa wanaume wako hivyo.

Mie nimekuwa short and clear kuendana nao..napenda kuandika 'love, ratiba?' 'mpz, nakuhitaji. tuonane' 'love, za leo' 'sorry kuhusu jana' najua majibu yatakuwa kwa kifupi pia na vitendo juu.. halafu nimeshazoea ok, thanks, sawa, mida, later nk..na mie najibu hivyo hivyo nikipata texts.
Ila stori ndefu sipendagi mana huwa wanalazimika kudanganya wakati wamezoea kufanya vitendo zaidi..

...lazima utotoni ulikuwa mtundu sana wewe, LOL!
naomba ni copy maneno yako kwenye misamiati yangu.

Kuanzia sasa, nami ni mwendo wa "ok, thanks, sawa, mida, later nk!" ..he he he!
Thx BJ.
 
thanks kwa kutuelewa,
ila usizoee sana na wewe kuwa short,
kwa mdada haipendezi sana.......

bacha, ili usikereke...mdada akijibu in-short nawe unapunguza zaidi.
mfano;
  • okey...unaandika ok, au "k" kabisaaaa!
  • kisses....unambandikia "x"...
mwendo mdundo mpaka kieleweke!
Ila kiukweli, majibu ya mkato ni ishara ya kiburi, ujeuri.
Yanauma bana, LOL!
 
BB kweli inauma kama umejitutumua na kuangusha mistari ya maana ila nadhani wengi wa wanaume wako hivyo.

Mie nimekuwa short and clear kuendana nao..napenda kuandika 'love, ratiba?' 'mpz, nakuhitaji. tuonane' 'love, za leo' 'sorry kuhusu jana' najua majibu yatakuwa kwa kifupi pia na vitendo juu.. halafu nimeshazoea ok, thanks, sawa, mida, later nk..na mie najibu hivyo hivyo nikipata texts.
Ila stori ndefu sipendagi mana huwa wanalazimika kudanganya wakati wamezoea kufanya vitendo zaidi..

Pamoja na kutuelewa lakini usifupishe mistari yako. The fact kuwa tuna tabia ya kujibu in short haina maana kuwa hatutaki kusoma sms zenu ndefu. Tunazipenda sana. Tatizo letu ni jinsi ya kuji-express linapokuja suala la mapenzi. Otherwise, kama ulivyosema tunaishia kudanganya ili mistari iwe mirefu. Sioni ni kwa sababu gani na wewe uandike mistari mifupi ili umridhishe mwanaume. Why don't you be just a woman? kwa staili hii, partner wako atakuwa anamiss something very important from you. Najua inaudhi lakini hili ni tatizo la kibayoligia zaidi ambalo lipo nje ya uwezo wetu. Kama sio tofatuti zetu za kimaumbo na kisaikolojia, kusingekuwa na mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Llife would never be the same.

Sasa linapokuja suala la kuji-express wataalamu wanasema hili linasababishwa na sehemu fulani ya ubongo wetu unaoitwa Corpus Callosum. Hii sehemu ndio inaunganisha ubongo wa kulia na kushoto. Kwa kifupi ni kwamba hii sehemu ya ubongo yaani Corpus Callosum ni kubwa zaidi kwa wanawake, ukilinganisha na ile ya wanaume. Matokeo yake ni kuwa wanawake wanaweza kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja kwa sababu Corpus Callosum yao ni kubwa. Ukitaka kudhibitisha hii mwongeleshe mwanaume na mwanamke wakati wanapiga mswaki. Mwanamke ataweza kuongea huku akipiga mswaki. Mwanaume hataweza.

Kwa hiyo ukubwa wa Corpus Callosum unawawezesha wanawake kufikiri na ku-feel hapo hapo. Kwa wanaume tunatenganisha kati ya kufikiri na ku-feel kwa sababu Corpus Callosum yetu ni ndogo. Corpus Callosum yetu haina uwezo wa kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Hii ndio inayosababisha wanaume kushidwa kufikiri na ku-fee at the same. Kama kuna mwanaume anayeweza kufanya hivyo atakuwa na matatizo ya kibayogolia. Ndio maana The Boss amesema hapo juu kuwa hili ni tatizo la kibayoligia zaidi na lipo nje ya uwezo wetu. Kwa hiyo BelindaJabob kitendo cha wewe kufupisha sms zako unaenda kinyume kabisa na bayoligia yako na unamnyima partner wako uhondo wa kusoma msm zako ndefu. Hakuna haja ya kuwa short ili uendane na sisi. Just be a woman, Just be you. And that is what will make you attractive to you parther. Hujasikia wanaume wanalalamika wake zao ni mavuvuzela lakini mbona hawawapi talaka?
 
sasa tufanyeje maana miaka na miaka tupo nanyi lakini tunashindwa kuwaelewa kabisa, mbona mnapokuja juu na sisi tukinyamaza mnatuambia tuna viburi???

Kwanini unyamaze bwana BB...Please! talk to me..ni kweli ukisha kuja juu na mtu akiamua kunyamaza bila kutia neno inaonekana ni dharau bora hata nawe ufoke inakuwa poa zaidi kuliko kuuchuna.
 
Nashukuru umeandika mimi nachukia mpaka basi,siku hzi wala simuandikii tena mesage.nachukia kweli hata mimi,
 
...lazima utotoni ulikuwa mtundu sana wewe, LOL!
naomba ni copy maneno yako kwenye misamiati yangu.

Kuanzia sasa, nami ni mwendo wa "ok, thanks, sawa, mida, later nk!" ..he he he!
Thx BJ.

btw, thanks unaweza ifupisha ikawa 'thx'...ha ha

utundu utoke wapi jamani? basi napenda kuchati ila siyo kwa kirefu..ok, nitajitahidi niwe sweet atleast 'ok luv' ha ha

sawa eeh!!
 
...unajua wewe unataka niandike mambo humu halafu nije nikose mchumba hapa, si ndio?
I reserve my comments hapo kwenye 'kuwatongoza upya' bibi na bwana wakishakuwa pamoja.

Homework ya leo;

  • kuku anasifiwa kwa ladha yake (baada ya kupikwa?,) au kwa mbio alizofukuzwa (kabla ya kuchinjwa?)
We Mbu si juzi tu hapa umesema uko madly in love mchumba wa nn tena humu
 
Nashukuru umeandika mimi nachukia mpaka basi,siku hzi wala simuandikii tena mesage.nachukia kweli hata mimi,
Yaani huwa nakereka mpaka natamani kulia, wakati mwingine sijibu kabisa, ndio ataibuka huko vb bb mbona kimya, unaona, kumbe anapenda mashairi halafu yeye hataki kuniimbisha
 
Kwanini unyamaze bwana BB...Please! talk to me..ni kweli ukisha kuja juu na mtu akiamua kunyamaza bila kutia neno inaonekana ni dharau bora hata nawe ufoke inakuwa poa zaidi kuliko kuuchuna.
Wenzio ukija juu anainama tu chini mpaka ukimaiza kuongea, then atasimama atakuja kukukumbatia na maneno mawili tu, im sorry bb it wont happen again, is it fair?
 
Pamoja na kutuelewa lakini usifupishe mistari yako. The fact kuwa tuna tabia ya kujibu in short haina maana kuwa hatutaki kusoma sms zenu ndefu. Tunazipenda sana. Tatizo letu ni jinsi ya kuji-express linapokuja suala la mapenzi. Otherwise, kama ulivyosema tunaishia kudanganya ili mistari iwe mirefu. Sioni ni kwa sababu gani na wewe uandike mistari mifupi ili umridhishe mwanaume. Why don't you be just a woman? kwa staili hii, partner wako atakuwa anamiss something very important from you. Najua inaudhi lakini hili ni tatizo la kibayoligia zaidi ambalo lipo nje ya uwezo wetu. Kama sio tofatuti zetu za kimaumbo na kisaikolojia, kusingekuwa na mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Llife would never be the same.

Sasa linapokuja suala la kuji-express wataalamu wanasema hili linasababishwa na sehemu fulani ya ubongo wetu unaoitwa Corpus Callosum. Hii sehemu ndio inaunganisha ubongo wa kulia na kushoto. Kwa kifupi ni kwamba hii sehemu ya ubongo yaani Corpus Callosum ni kubwa zaidi kwa wanawake, ukilinganisha na ile ya wanaume. Matokeo yake ni kuwa wanawake wanaweza kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja kwa sababu Corpus Callosum yao ni kubwa. Ukitaka kudhibitisha hii mwongeleshe mwanaume na mwanamke wakati wanapiga mswaki. Mwanamke ataweza kuongea huku akipiga mswaki. Mwanaume hataweza.

Kwa hiyo ukubwa wa Corpus Callosum unawawezesha wanawake kufikiri na ku-feel hapo hapo. Kwa wanaume tunatenganisha kati ya kufikiri na ku-feel kwa sababu Corpus Callosum yetu ni ndogo. Corpus Callosum yetu haina uwezo wa kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Hii ndio inayosababisha wanaume kushidwa kufikiri na ku-fee at the same. Kama kuna mwanaume anayeweza kufanya hivyo atakuwa na matatizo ya kibayogolia. Ndio maana The Boss amesema hapo juu kuwa hili ni tatizo la kibayoligia zaidi na lipo nje ya uwezo wetu. Kwa hiyo BelindaJabob kitendo cha wewe kufupisha sms zako unaenda kinyume kabisa na bayoligia yako na unamnyima partner wako uhondo wa kusoma msm zako ndefu. Hakuna haja ya kuwa short ili uendane na sisi. Just be a woman, Just be you. And that is what will make you attractive to you parther. Hujasikia wanaume wanalalamika wake zao ni mavuvuzela lakini mbona hawawapi talaka?
Duh hili la ubongo na kupiga mswaki limeniacha hoi kabisa, thanx EMT kwa kutujulisha ambao tulikuwa hatujui ila mjitahidi bana, ahsante sana umelezea kwa kina sana nitajaribu kuwelewa huyu kijana ila mhhhhh
 
Mkuui!
Hapa umetoa Bonge la shule,
Nadhani BB hatachukia tena
Tabia ya Mwanamme wake!
Hahaaaa haaaaa
 
We Mbu si juzi tu hapa umesema uko madly in love mchumba wa nn tena humu

Mdundiko;

♫...usinishike bega, nae mchumba wangu anasoma hapa...
...mamaaa nalia, nisijeachwa kwenye mataa...♫
miss_sugar_2008_280355.jpg
 
yap Blackberry, yan hata mimi huwa nachukia sana hicho kitendo na nimefurah kuckia naww u r one of them, atleast inaonekana kua kweli ni tatizo.... unajua inaumiza sana unapomuandikia message ukijieleza the way u feel..jns unavyomkubali na kila kitu but unaishia kuambulia a short msg km vile " i love u too" au "thank u" jamani you guys jaribuni kujali hisia za wenzi wenu, at least hata kujimwambafy, sio kile kipindi cha kufukuzia ndo mnatoa hotuba ndefu kila cku ila ukishampata unaanza "luv u too" ............ mwatudhulumu nafsi zetu mjue.......
 
Basi ingawa uoneshe affection kwa kujielezea kidogo hata unapokosa sio bb im sorry ukiongea tena kanyamaza ina maana kamaliza ukizidi unastukia anaanza kukukiss then mna do kamaliza kesi

Teh teh teh! mbavu zangu uwiiiiiiiiii!
 
Ni tofauti ya kibailojia....
Sio kosa letu....

Ukitaka mwanaume akupe kurasa mbili za maelezo
basi usimvulie nguo....
The moments tukisha nanihi
tunarudi kuwa wanaume...
Its a nature.usitulaumu

sasa tatizo hizi kurasa mbili hapa mwanzo,mkubwa,zitapelekea kuvuana nguo tu lazima!!so, utaona mzunguko utarudi kulekule.nadhani tukubaliane tu na asili jamani.mi siwezi kuongea tu kwa nusu saa,esp. kama ishu ni moja hiyohiyo.au umenikuta na ka-gazeti kangu nataka nitulie nisome unataka kunisimulia kuachiwa kwa mbowe au umbea uliosikia saloon!binafsi(na nadhani nawakilisha idadi kubwa ya wanaume)sipenedi au labda siwezi kuongea sana,iwe kwa mdomo au kwa maandishi!
 
Back
Top Bottom