Nachukia hii sana......!!

Mmhhh hii topic inakoenda?
BB vipi umepata majibu ya kuridhisha kutoka kwa wadau kuhusu mada yako?
 
nakifeel kikianza kukubaliana na makosa yake mwisho kabisa kabla ya kuomba msamaha wa machozi huwa kinahema mfululizo

Inaelekea huwa hutaki upitwe hata na sekunde ili kujua kinachoendelea hahahahah lol! Hongera zako BB!
 
nakifeel kikianza kukubaliana na makosa yake mwisho kabisa kabla ya kuomba msamaha wa machozi huwa kinahema mfululizo

ukisikia miujiza ndo uko hapo
jiulize hakina miguu.kinasimama
hakina mikono kinachapa watu wazima mpaka wanalia lol
hakili kitu,kinatema maziwa
kinaongezeka ukubwa pia kikikasirika

huoni muujiza huo lol
 
Haya kwanini huwa mna penda vifupisho wakati wenzenu wako serious na wanajielezea sana, kama issue ya barua BAK bora pale juu umetetea maana arua page tatu inajibiwa nusu page lol?
 
Mie huwa wakati mwingine napenda vifupisho wakati mwingine napenda maelezo inategemea na situation ila kuna ile ya msg huw a inaboa sana unaandika weeeee mwenzio eti anajibu ok bby! hapo huwa nafume ile mbaya. halafu BB kama umeshakutana na hii ! unakutana na mwanaume mnaexchange namba mnaanza kuchati, siku ya pili anakwamba nitumie msg nzuri. khaaaaa! huwa nashindwa kuelewa msg nzuri zinaenda na feelings sasa hatujawahi hata kukaa au kwenda dinner unamwandikiaje sasa
 
Kwa kweli hiyo ya msg nzuri imejaa sana hasa mijitu mizima inapenda kweli sema hivo, maana sasa utampaje msg nzuri au kumsifia hata huja kaa nae au ku do nae?
 
Kumbe na wewe nalijua hilo? linaboa sana
 
Mie huwa wakati mwingine napenda vifupisho wakati mwingine napenda maelezo inategemea na situation ila kuna ile ya msg huw a inaboa sana unaandika weeeee mwenzio eti anajibu ok bby! hapo huwa nafume ile mbaya. halafu BB kama umeshakutana na hii ! unakutana na mwanaume mnaexchange namba mnaanza kuchati, siku ya pili anakwamba nitumie msg nzuri. khaaaaa! huwa nashindwa kuelewa msg nzuri zinaenda na feelings sasa hatujawahi hata kukaa au kwenda dinner unamwandikiaje sasa
hahahahahaaaa lol mijitu mingine huwa sijui ya shamba, eti niandikie msg nzuri wapo wengi tu mwali
 
Back
Top Bottom