Nachukia hii sana......!!

BlackBerry

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
1,839
956
Habari wakuu, hivi wasichana wenzangu mshaona hii , unamwandikia email, au sms, au barua ndeeefu mpenzi wako halafu yeye anajibu maneno mawili, matatu..... mie binafsi naona hii wanaoathirika zaidi ni wanawake, cause tunapenda sana kujielezea hisia zetu kwa mapana na marefu... unaweza mwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda ukajielezea kurasa mbili yeye akakujibu mistari miwili tu, au na mimi pia...

hapo mnakuwa mmetuvunja nguvu sana, au umechukia kitu mko mnaongea utaongea masaa matatu yeye atakujibu nimekusikia nisamehe, hamuoni kwamba mnatakiwa mjielezee kidogo ingalau kumpa moyo mwenzio... inakukutaga hii embu niambieni wanaokutana na hali hii wanajisikiaje? mie huwa nakasirika mara mbili yake
 
Ni tofauti ya kibailojia....
Sio kosa letu....

Ukitaka mwanaume akupe kurasa mbili za maelezo
basi usimvulie nguo....
The moments tukisha nanihi
tunarudi kuwa wanaume...
Its a nature.usitulaumu
 
Habari wakuu, hivi wasichana wenzangu mshaona hii , unamwandikia email, au sms, au barua ndeeefu mpenzi wako halafu yeye anajibu maneno mawili, matatu..... mie binafsi naona hii wanaoathirika zaidi ni wanawake, cause tunapenda sana kujielezea hisia zetu kwa mapana na marefu... unaweza mwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda ukajielezea kurasa mbili yeye akakujibu mistari miwili tu, au na mimi pia...

hapo mnakuwa mmetuvunja nguvu sana, au umechukia kitu mko mnaongea utaongea masaa matatu yeye atakujibu nimekusikia nisamehe, hamuoni kwamba mnatakiwa mjielezee kidogo ingalau kumpa moyo mwenzio... inakukutaga hii embu niambieni wanaokutana na hali hii wanajisikiaje? mie huwa nakasirika mara mbili yake

...nimekusikia, ...am sorry....:pray:
 
Nashukuru nilio wa date
walikuwa wachoyo wa mamneno
lakini si wachoyo wa vingine ..

na sipendi mwanaume anaye jieleza sana
kama ndio tumekutana mara ya kwanza sawa
nataka kusikia kila kitu..
sijui kwa nini anayejieleza sana na muona muongo
kwanza naoana haipendezi.. mie napenda anae ongea
kwa vitendo...
 
Maneno mengi sometimes hayasaidii
Mimi huwa naangalia mambo makuu 4
1.Uaminifu
2.Heshima
3.Maelewano
4.Mawasiliano
Na yote haya lazima uyaweke kwenye matendo
Actions speaks louder than words...
 
Dada Blackberry mara nyingi hao wanaoongea sana ni waongo bora anaetamka maneno mawili lakini anamean alichosema, wanaume sio watu wa kuongea maneno mengi maongezi yao marefu huwa ni pale anapokutongoza akishatimiza malengo yake ndio basi u can hardly hear him talk.
 
Na wewe kumbe zako hizo eee

...lol!...kujielezea sana kunahitaji kumbukumbu nzuri.

(mwanaume) unaweza katikati ya mistari ukaambiwa urudie ulichosema awali ukabakia
unajiuma uma...

Tatizo, Wanawake huwa mnasikiliza kwa makini halafu mnatu-quote baadae.
Bora hivyo ku summarize 'kwenye fuu la nazi!'
 
eti kuna mmoja huyo yeye unamtumia msg tamu
ukikosea ka neno.. yeye anakujibu kwa kusahihisha pale ulipokea halafu bac
mhhh shen*** zake

inakera sana
 
Dada Blackberry mara nyingi hao wanaoongea sana ni waongo bora anaetamka maneno mawili lakini anamean alichosema, wanaume sio watu wa kuongea maneno mengi maongezi yao marefu huwa ni pale anapokutongoza akishatimiza malengo yake ndio basi u can hardly hear him talk.
Lily Flower kwa mfano unamwambia mpenzi wako kwenye sms mameno maziri pages hata tatu, anakujibu namimi pia swt au i love you too huoni hiyo imekaa vibaya? hakuna hata shairi beti moja mie huwa sielewi somo
 
eti kuna mmoja huyo yeye unamtumia msg tamu
ukikosea ka neno.. yeye anakujibu kwa kusahihisha pale ulipokea halafu bac
mhhh shen*** zake

inakera sana
Unaena sasa SexaMicca yani unakaa unatafuta maneno ya kumfurahisha, analeta za kuleta
 
eti kuna mmoja huyo yeye unamtumia msg tamu
ukikosea ka neno.. yeye anakujibu kwa kusahihisha pale ulipokea halafu bac
mhhh shen*** zake

inakera sana

ha ha ha!...duuuhhh!...he he! hiyo sasa hila!
umenichekesha sana.
 
Lily Flower kwa mfano unamwambia mpenzi wako kwenye sms mameno maziri pages hata tatu, anakujibu namimi pia swt au i love you too huoni hiyo imekaa vibaya? hakuna hata shairi beti moja mie huwa sielewi somo

Haahaaa Baby BB
Maneno hayana maana vitendo ndio vinaleta maana...
Najua wewe sio shabiki wa siasa lakini
Raisi wetu anaongea sana matendo ziro
Huoni anavyodharauliwa sasa hivi?
Mwanaume utamjua kwa Matendo sio maneno!
 
Basi ingawa uoneshe affection kwa kujielezea kidogo hata unapokosa sio bb im sorry ukiongea tena kanyamaza ina maana kamaliza ukizidi unastukia anaanza kukukiss then mna do kamaliza kesi
 
Back
Top Bottom