Nachohofia TBS ukaguzi wa magari ni mambo ya kutoa kitu kidogo au connections ili gari isikaguliwe miezi au kuambiwa ni bovu uingie gharama

Kila siku serikali inaongeza ugumu katika uagizaji wa magari ama kwa kuongeza Kodi au kuleta complication tu zitakazo ongeza urasimu usio na sababu ila lengo Ni kuwaumiza raia tu hamna kingine
Miradi ya kimkakati inahitaji hela... Ni kukamuliwa mwanzo mwisho.
 
Kwan si bado haujaanza....?! Tusubirie uanze then tutafahamu shida ipo wapi.

Kwa sasa nyie chuneni msiseme lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…