Sasa Nachingwea nanyi fujo za nini tena? Hapo sina shaka maana kuna barrack kubwa sana ya Jeshi ni miongoni mwa barrack kubwa km sikosei ya 3 tz fanyeni fujo mtakiona cha moto.
Nyie munamatatizo yenu ya bodaboda wameshindwa kufanya kazi masasi maana yake ulinzi umeimarishwa mmekimbilia Nach kujipatia ridhki ati mnatia fujo tena....hata ck 3 bado hali ishakuwa tete na bado wakifanya mwezi si ndio itakuwa tiamajitiamaji? Muna kazi ndugu zangu mwaka huu tena nyie hamna gas wala korosho nyingi nyie mna ufuta na karanga.
Acheni ujinga mtakufa na njaa na wanaowasupport wameshiba nyie mnahangaika walau mpate buku ikatulize ndoa nyumbani.....bodaboda dawa yenu inakuja....