HA HA HA..!
JAMAA AMEKARIRI VIBAYA SANA,LOL..
:whistle: :whistle:
Ahh asitusumbue huyo anakalili kiingereza direct wakati hata wao kuna kkingerza cha UK. Britain na hadi sasa utasikia Nigerian English n Kenyan also...haya mambo ya lugha ni magumu sn tafsiri zake sn sio rahic kama anavyojifanya ye anajua.
After-all sio lugha yetu na ye sio yake anajiamini vipi ye yupo sahihi wakati hata wao wenye lugha wanasumbuana sana juu yamatumizi ya lugha yao same kwa kiswahili.
Hivyo asijifanye anafikiria kwa sn kwa lugha za watu..mie wala simjibu tena.