wa kusini nimewapendaaaaaaa!! how i wish nchi nzima ingekuwa hivi!!
Isikie hivo hivo tu vurugu, usiiombe.
wa kusini nimewapendaaaaaaa!! how i wish nchi nzima ingekuwa hivi!!
Kaka yupo sahihi..... contemporary hata gas inaweza kua gas spring...aha ahaahh hahah hah
Shida mnapoteza muda mwingi kujifunza kiingereza na kila kitu kinaishia hapo, ukishajua Misamiati ukaikariri basi, lakini uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo haupo. Na ndio maana kila siku tunachekwa mbele ya uso wa Dunia!
Watu wanaotoa majina ya haya matukio hawafanyi bila sababu, ile iliitwa Arab Spring kwa kuwa ilikuwa ni wakati wa Spring na huko Afrika ya kaskazini wana hiyo mifumo minne ya kuchanganua hali ya hewa yaani spring, summer, autum, winter kwa kama ingetokea wakati wa winter ingeitwa labda the Arab Winter, sasa kwetu mifumo yetu ni ya vipindi vya mvua Kiangazi, Kipupwe, Masika, hivyo kuiita Mtwara spring haileti maana yoyote kama mtu anataka kukopi 1-1 angalau angetumia vipindi vyetu vya mvua! Kufikiri kidogo saa nyingnine ni muhimu!
shida mnapoteza muda mwingi kujifunza kiingereza na kila kitu kinaishia hapo, ukishajua misamiati ukaikariri basi, lakini uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo haupo. Na ndio maana kila siku tunachekwa mbele ya uso wa dunia!
Watu wanaotoa majina ya haya matukio hawafanyi bila sababu, ile iliitwa arab spring kwa kuwa ilikuwa ni wakati wa spring na huko afrika ya kaskazini wana hiyo mifumo minne ya kuchanganua hali ya hewa yaani spring, summer, autum, winter kwa kama ingetokea wakati wa winter ingeitwa labda the arab winter, sasa kwetu mifumo yetu ni ya vipindi vya mvua kiangazi, kipupwe, masika, hivyo kuiita mtwara spring haileti maana yoyote kama mtu anataka kukopi 1-1 angalau angetumia vipindi vyetu vya mvua! Kufikiri kidogo saa nyingnine ni muhimu!
Yani bodaboda wa Kusini ndiyo wababe wa polisi. Wanawezaje kufunga vituo vya POLISI???
Ahh ha ahha unajijibu mwenyewe..sasa si ni wakati wa gas ndio maana nimesema inaweza kuwa gas spring ukizingatia ndio first time tuna fikiria kuanza kuchimba hiyo resource aha hhahha ha
Dogo yupo sahihi we ndio una kiingeredha cha kukariri cha UK unadhani ili iitwe spring ni lazima iwe based on weather ahah ha hahaa
wa kusini nimewapendaaaaaaa!! how i wish nchi nzima ingekuwa hivi!!
Cacico bby don't even wish, because when it starts it affects the all, whether you are guilty or not.wa kusini nimewapendaaaaaaa!! how i wish nchi nzima ingekuwa hivi!!
Halafu sasa unaonyesha jinsi ulivyokuwa hauna ubunifu, sasa The South Spring inahusiana vipi na Mtwara? Ungekuwa makini kidogo na kufikiri tu kwa mbali ungetafuta jina ambalo linaleta maana, kwani Mtwara hakuna spring kwa maana ya matumizi ya neno lenyewe, hivyo The south spring haina maana kwenye mambo ya Mtwara!
Halafu sasa unaonyesha jinsi ulivyokuwa hauna ubunifu, sasa The South Spring inahusiana vipi na Mtwara? Ungekuwa makini kidogo na kufikiri tu kwa mbali ungetafuta jina ambalo linaleta maana, kwani Mtwara hakuna spring kwa maana ya matumizi ya neno lenyewe, hivyo The south spring haina maana kwenye mambo ya Mtwara!
Chamuhimu sasa naona serikali ifungie usafiri wa Boda boda. Hawa vijana wamekuwa kero sana. Vifo, vilema, na matatizo mengi yameanza gafla baada ya huu usafiri kuwepo. Ukizingatia hata hauna tija kwa serikali cuz hauchangii chochote kwenye pato la taifa. Chamsingi ni vijana watafute means nyingine za kujikwamua kiuchumi. Boda boda is not everything!!