Leo asubuhi kaja mfanyakazi mwenzangu (mwanamke) ofisini huku kanuna.Nikamuuliza kulikoni? Yeye akajibu kuwa boyfriend wake hajapokea simu yake tangia leo saa sita usiku.
Baada ya muda kidogo nikamuuliza tena kama ameshawasiliana na huyo boyfriend wake,akajibu kuwa bado hawajawasiliana lakini anaonekana kama yuko 'bize' anachati.Nilipomuuliza kuwa anachati na nani hapo ndipo aliponipa jibu hili tena akiwa serious!
"Nachati na generator..Si unajua tena nyie wanaume wa bongo mpo kama umeme wa Tanesco? any time unakatika kwa hiyo ni lazima uwe na standby generator ili usipate tabu"
Nyie wanawake kweli kazi ipo....Yani mnatu-group huyu generator, huyu line ya tanesco!!.....Mwanaume unajituma kumbe wewe generator umeme ukirudi unazimwa unawekwa kando!!
:shock: :shock: :shock: :shock:
Hamuelewekiii.....afanyaje!! Akae giza na thikuku yote ya wapendanao! huyo bf lzm atakua na kitu kingine kwa ajili ya leo ndo mana kazilia bati hizo simu za huyo bidada!!
Mkuu hawa dada zetu wakibongo hawana uvumilivu kabisa hasa wakati wa shida!
baba njooo uone huku utafiti mtunze mama asije tafuta generatorLeo asubuhi kaja mfanyakazi mwenzangu (mwanamke) ofisini huku kanuna.Nikamuuliza kulikoni? Yeye akajibu kuwa boyfriend wake hajapokea simu yake tangia leo saa sita usiku.
Baada ya muda kidogo nikamuuliza tena kama ameshawasiliana na huyo boyfriend wake,akajibu kuwa bado hawajawasiliana lakini anaonekana kama yuko 'bize' anachati.Nilipomuuliza kuwa anachati na nani hapo ndipo aliponipa jibu hili tena akiwa serious!
"Nachati na generator..Si unajua tena nyie wanaume wa bongo mpo kama umeme wa Tanesco? any time unakatika kwa hiyo ni lazima uwe na standby generator ili usipate tabu"
Nyie wanawake kweli kazi ipo....Yani mnatu-group huyu generator, huyu line ya tanesco!!.....Mwanaume unajituma kumbe wewe generator umeme ukirudi unazimwa unawekwa kando!!
:shock: :shock: :shock: :shock:
Mkuu hawa dada zetu wakibongo hawana uvumilivu kabisa hasa wakati wa shida!
Baba anamjali sana mama..si umekuwa ukilalama kuwa baba kakusahau kwa sababu ya mama.? labda mama atafute generator kwa tamaa tu lakini baba sina tatizo naye!
Wanawake wa siku hizi yaaani hawajielewi kabisa da yaani in kugawa tu