Hao manabii wanakesha kwa waganga kutafuta Nguvu za kuwashika Watu vichwa...Kisha wakadondokaHivi kuna tofauti gani kati ya nabii na mganga? Mana mm naona manabii wengi wamekuwa waganga now days unawezaje kumpa chupi muumini aisee hizi deni za kishetani ni hatar sana ni bora kwenda kwa mganga kabisa
huyu Yeah ndo nan?Tena sio kutafsiriwa, kusimuliwa. Wanaomtafuta Yeah wanaenda kanisani na Biblia, notebook, na peni. Wanaosaka miujiza wanaenda kanisani na hela za kununua chumvi, mafuta, maji, chupi etc
Wajinga ndio waliwao.Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake.
Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu zake Wala wa mkewe. Mume mgumu Kama ndevu za gaidi wa Mkuranga.
Rafiki yangu huyu aliniomba niandamane naye kwa nabii ili aniangalizie Mambo yangu, kwani tangu kipindi Cha Corona Biashara zangu zimeyumba Sana na hata shamba langu la nyoka 🐍 ambalo ndilo lilikuwa likiniingizia fedha za kigeni Sasa najihisi kana kwamba linaweza kunishinda kabisa ku operate.
Sasa kila mtu aliingia kwa awamu yake chumbani kwa nabii. Mimi ndiye niliyeanza na Kisha mwenzangu akafuatia.
Nabii alikuwa mchangafu akanitia moyo kuwa hata kampuni kubwa Ulaya zimeanguka, nijipe Moto nitainuka Tena.
Akaniombea nikatoka, akaingia mwenzangu. Mwenzangu huko ndani alikaa zaidi ya saa moja, akatoka nje akaniuliza una laki moja happy unipe ntakurejeshea nyumbani? Nikamjibu cash Nina 75'000/ akasema nipe hizohizo, na Kama unayo balance kwenye simu rusha kwa namba hiii ya nabii. Nikamrushia.
Rafiki akaingia ndani ambako Sasa alikaa Kama dakika Saba Kisha akatoka nje.
Safari ya kuelekea kwenye gari ikaanza, ndipo akaanza kunipa mchapo.
Nabii anatoa chupi za upako ambazo zinasaidia Kama mume hatulii, una ugumba etc. Chupi ni za Holland Wax na unaweza jipatia kwa kadiri utakavyo.
Bei ya kila moja ni laki unusu.
Endeleeni na chupi zenu za upako mi ntapambana na maombi nikilitumia jina la Yeah na damu yake ya thamani na kuoga kwa chumvi ya mawe Kama alivyofundisha Mshana Jr.
Mzee wa sikuhuyu Yeah ndo nan?
Basi ACHA UONGO mkuuNimtaje wa Nini? Siko hapa kufanya promo
DuhhHivi videmu vishirikina hivi vinavyosema vinaogea chumvi hua vinakua vitamu kishenzi. Halafu havizeeki, utakuta vina umbo dogo dogo tako la wastani miaka nenda rudi.
Majina yao ni Mwashabani, Sabra yaani majina unusual. Kwake hukosi maji ya bahari, hirizi na kaniki kama zote.
Ila vitamu balaa.
Wanawake mna changamoto sana maishani. I see why manabii wanawala kiurahisi kama hamna akili vile. Mwingira na mwenziye Gwajima hapa wanacheka tu.Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake. Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu zake Wala wa mkewe. Mume mgumu Kama ndevu za gaidi wa Mkuranga.
Rafiki yangu huyu aliniomba niandamane naye kwa nabii ili aniangalizie Mambo yangu, kwani tangu kipindi Cha Corona Biashara zangu zimeyumba Sana na hata shamba langu la nyoka 🐍 ambalo ndilo lilikuwa likiniingizia fedha za kigeni Sasa najihisi kana kwamba linaweza kunishinda kabisa ku operate.
Sasa kila mtu aliingia kwa awamu yake chumbani kwa nabii. Mimi ndiye niliyeanza na Kisha mwenzangu akafuatia. Nabii alikuwa mchangafu akanitia moyo kuwa hata kampuni kubwa Ulaya zimeanguka, nijipe Moto nitainuka Tena.
Akaniombea nikatoka, akaingia mwenzangu. Mwenzangu huko ndani alikaa zaidi ya saa moja, akatoka nje akaniuliza una laki moja happy unipe ntakurejeshea nyumbani? Nikamjibu cash Nina 75'000/ akasema nipe hizohizo, na Kama unayo balance kwenye simu rusha kwa namba hiii ya nabii. Nikamrushia.
Rafiki akaingia ndani ambako Sasa alikaa Kama dakika Saba Kisha akatoka nje. Safari ya kuelekea kwenye gari ikaanza, ndipo akaanza kunipa mchapo.
Nabii anatoa chupi za upako ambazo zinasaidia Kama mume hatulii, una ugumba etc. Chupi ni za Holland Wax na unaweza jipatia kwa kadiri utakavyo.
Bei ya kila moja ni laki unusu.
Endeleeni na chupi zenu za upako mi ntapambana na maombi nikilitumia jina la Yeah na damu yake ya thamani na kuoga kwa chumvi ya mawe Kama alivyofundisha Mshana Jr.
We nabii weweee😂😂 acha hizoooLakini hizi chupi za upako ni nzuri,,kuna msichana mmoja alibarikiwa na mchungaji chupi hizo,,saa hizi mambo
yako yako vizuri,,mmewe kamnunulia tako la nyani,new model
Unasema wazinzi wakati waumini wao vipofu na viziwi wanawaita manabii? Binadamu kwa kweli tunatofautiana akili, yaani mtu kabisa unakubali kuchezewa akili na wasanii kama hawa?Wazinzi waliobobea hao
🚑duh 😂😂😂😂😂😂