Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,440
Mhuni mpiga dili kwa wasiojielewa. Alikuwa na kanisa Tanga-majestic cinema hall. amefukuzwa sijui yuko wapi. Mhuni tu!Leo wakati nawasha televisheni yangu ghafla nikakutana na kipindi chake cha uponyaji wa maradhi. Nimeona watu wakitoa shuhuda mbalimbali na wengine wakipokea uponyaji mbele ya camera, nikapata shauku ya kumfahamu huyu mtumishi ni nani maana inaonekana huduma zake si mchezo maana watu wanatoa shuhuda kupona maradhi wanayosema kwamba walishindwa kutibiwa hospitalini.
Una maana gani unaposema ni mpiga dili?Mhuni mpiga dili kwa wasiojielewa. Alikuwa na kanisa Tanga-majestic cinema hall. amefukuzwa sijui yuko wapi. Mhuni tu!
Tafuta maana ya mpiga dili! Au wewe ndiye yeye? Nimekuchoma!Una maana gani unaposema ni mpiga dili?
Don't judge you will be judged..! Huwa sihukumu watumishi wa Mungu maana walishaniponya kutoka kwenye marogo ya dunia na Nina tabia tu ya kuwa non-judgemental.Mhuni mpiga dili kwa wasiojielewa. Alikuwa na kanisa Tanga-majestic cinema hall. amefukuzwa sijui yuko wapi. Mhuni tu!
Ushaambiwa alikuwa na kanisa na akafukuzwa UNACHOHOJI NI KIPI?Una maana gani unaposema ni mpiga dili?
Acha upuuzi huo, hakuna cha kuhukumu hapa. Tumepewa akili tuzitumie. Aende mawodini, Ocean road kuna watu wana cancer aende awaponye tuamini, awaponye watu siyo anadanganya watu mabarabarani, Kuna nyuzi nyingi humu zinamuongelea kama tapeliDon't judge you will be judged..! Huwa sihukumu watumishi wa Mungu maana walishaniponya kutoka kwenye marogo ya dunia.
Never, Gwajima anafufua watu eti, si aende motuary muhimbili tuamini. Stupid , huko hathubutu kwenda! Huyu wa juzi alikuwa kalewa chakari, eti ni nabii!Ni kweli huenda watu wanaponywa ila hawa manabii na mitume
99.9% ni waongo WANATUMIA MWAVULI WA JINA LA YESU hali ya kuwa wao ni waganga wa kienyeji
Dili la kwanza lililobuma ni lipi na lina uhusiano gani na watu kupata uponyaji?Ushaambiwa alikuwa na kanisa na akafukuzwa UNACHOHOJI NI KIPI?
huyo ni mpiga dili sababu dili la kwanza lilibuma ila hili la sasa limewateka vizur wakazi wa Dar ambao wasiokuwa na upeo mkubwa
Search kuna threads nyingi zinamuelezea humu.Wakuu,mhuni?mpiga dil? Etc ndio nini?hebu ongeeni uhalisia ,Kwa mtu asiemjua na anataka kumjua nini maelezo ya ziada
Wewe kama unamfahamu tiririka watu wamjue, hakuna sababu ya kusema ni mpiga dili halafu hutaki kusema namna anavyopiga dili. Huenda unachosema ni kweli maana nimeona namba za mitandao na akaunti za benki kwa ajili ya kuchangia huduma zake lakini vipi ikiwa watu wanaopitia kwake wanapata uponyaji?Tafuta maana ya mpiga dili! Au wewe ndiye yeye? Nimekuchoma!
Haya umepona kapime ukimwi umepona- stupid! HIV virus anaondoka mwilini kwa kuguswa, stupid, kuwadanganya masikini wagonjwa!
Kama nilivyoandika mwanzoDili la kwanza lililobuma ni lipi na lina uhusiano gani na watu kupata uponyaji?
Weka link za hizo nyuzi ili tumfahamu.Acha upuuzi huo, hakuna cha kuhukumu hapa. Tumepewa akili tuzitumie. Aende mawodini, Ocean road kuna watu wana cancer aende awaponye tuamini, awaponye watu siyo anadanganya watu mabarabarani, Kuna nyuzi nyingi humu zinamuongelea kama tapeli
Hamuyaamini maandiko? Nanukuu. "Siku za mwisho watawajieni mitume na manabii wa uongo jiazarini nao" unasubiri baragumu ndio uamini dunia imekwisha? Msiishi kwa miujiza ili muamini ata shetani nae ufanya miujiza