pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,242
Mathayo 7
Msihukumu nanyi mtahukumiwa maana kiasi kilekile mnachohukumu ndicho kiasi hiko hiko nanyi mtapimiwa kuhukumiwa.
kuna laana katika
1.Kuhumu wenye haki
2.kunyooshea watumishi wa Mungu vidole
3.Mungu anamwita mtumishi wake katika hali yoyote
4.Mungu usifikiri hakuoni maovu yako, usifikiri hakujui anakujua lakini wewe hajakuhukumu lakini wewe unamuhukumu binadamu mwingine, unamfanya Mungu hana akili? hajui analolifanya?
5.Mungu kamwita jinsi alivyo ili Mungu ajitwalie utukufu wake. Yesu akasema sijaja kwa ajili ya wenye haki nimekuja kwa kwa ajili ya waliopotea ili wapate uzima na uzima tele! Mungu anaweza kukupa maradhi ya cancer ya ngozi ili ujue hapendi dhambi unayofanya. Mungu anaweza kukuparalizisha mkono wako unaoandika hapa. Mungu anaweza kukupa maradhi ya kujinyea na kujikojolea anaweza kuuwa anaweza kufufua! wewe ni nani binadamu unayejihesabia haki mbela ya Mungu? wewe ni mkuu kuliko Mungu wa majeshi? wewe ulimuumba Mungu au yeye alikuumba wewe? na unamhukumu binadamu mwenzako? unamfanya Mungu mjinga? Mungu alikosea kuumba? iyo akili nani kakupa? iyo afya unayoringia mpaka unamhukumu mwingine? unampangia Mungu nani amfanye mtumishi? mbona wewe mzima Mungu kakuruka kamfuata mtumishi wa Mungu? angalia Mungu asije kukuangamiza! Mungu anaweza kukufanya ombaomba maisha yako yakawa magumu! Na akafanya mlangowako kwa Nabii flora alafu ndio wa kukuombea sijui utaenda au utaendelea kumsema? Mungu anaweza kukupiga wewe unayemsema mtumishi wa Mungu alafu kwa makusudi mlango wa wewe kufungulia akaufanya kwa uyu mtumishi. kila mahali unapoenda Mungu hakufungui mpaka kwa uyu nabii sijui utafanyaje? Mungu anaweza kukuletea msiba kwako! anaweza kukutesa! ila anakuangalia tuu unahukumu binadamu mwenzako alafu unamtukana mtumishi wa Mungu. Goliath alikuwa na kiburi zaidi yako lakini Bwana wa majeshi alimpoteza kwa jiwe moja tuu, alijitapa kama wewe! alitukana kama wewe! alijiinua kama wewe! angalia hasira ya Mungu isije kukuangukia. siandiki kukutisha ila nakueleza ya kuwa Mungu hataki na hapendezwi! kujihesabia haki! angalia Mungu asiruusu jiwe lililopiga Goliath likupige na wewe.
unakosea. Mungu aliwapa wanawake unabii; ref. miriam, nabii debora. kasome kitabu cha wafalme kwa habari zake zaidi. ila huyu nabii wa gentamycine ni janga la kiroho. ni nabii ila ni nabii wa uongo.Wajinga ndiyo waliwao,Mungu hakua mjinga kutompa mwanamke unabii,hawa wa siku hizi sijui mtajibu nini siku ya kiama
GENTAMYCINE
????????????>..,,lljy@@2@@@@@@@!!!!!!!!!*********** Mungu neema yako babaNi mikorogo kwa kwenda mbele...
duh..hakuna Haja ya kufuga nyuki sasaNabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
mimi haya mafundisho ya kusema fuata neno usifuate matendo ni ya kipuuzi maana Yesu alisema tutawatambua kwa matendo yao[/QU
nitonye;
Sikutaka kucomenti chochote lakini umenikuna. Hivi kweli, mtu na akili zako atokee mtu atii anakuambia; Fuata mimachokuambia usifuate ninacho tenda. Kesho utakwenda kwake??
Hivi kweli, mtu unayejikoboa kama mahindi ya sembe, utakapofika pale mbele za Mungu utasema nini? Mtu anauliza atii; Ni wapi pameandikwa usijikoboe!!!! Ni aibu kuuliza swali kama hili au sivyo?? Hujasoma neno la Mungu kuwa hata usijichore (Tatoo) mwili wako?? Iweje kujikoboa kuwe sawa??
Mnaniambia ati anatumia mafuta ya mzeituni kutoka Israel, nikitumia mafuta kutoka Supermarkiti kuna shida gani?? Hivi kinachotoka Israel ndiyo "Kitakatifu" saana au? Nasema; Hapo ni manyoya tuuuuu.
Hata angemfanya kuku akojoe, hanitishi huyooo
Ngoja nikujibu tu apo kwenye mafuta baaaas,supermarkiti ulosema apo ni nchi gani kwani
Mathayo 7
3.Mungu anamwita mtumishi wake katika hali yoyote
.
unakosea. Mungu aliwapa wanawake unabii; ref. miriam, nabii debora. kasome kitabu cha wafalme kwa habari zake zaidi. ila huyu nabii wa gentamycine ni janga la kiroho. ni nabii ila ni nabii wa uongo.
Anatisha huyu mazaaa....Kama kitimoto vile
Ngoja nikujibu tu apo kwenye mafuta baaaas,supermarkiti ulosema apo ni nchi gani kwani
nelaizer;
Yaani hujaona maduka makuubwa tu yameandikwa Supermarkiti?? Kila mji mkuu sasa hivi hayo maduka yamejaa. Nimekuandikia kisawahili chake tu. Kinyamwezi ni; SUPER MARKET. Sawa sawaa?.
Nakushauri uende mwenyewe ujionee..mengi yanaongewa kuhusu mausanii..ila wapo wanashuhuda..nakushauri popote utakapoenda kufuata maombezi..muombe mungu kwanza akuongoze na sio watu wakuongoze..na kama neno la mungu linavyosema amani ya kristo iamue ndani yenu..ukiona huna amani jua sio penyewe...angalizo ibada za kutumia maji, sabuni sijaona ufunuo ktt neno..ila mtu ukiamua kuamini hata udongo unafanya kazi ..kazi kwako!
Neno langu likakaa kwa wingi ndani yenu ombeni chochote kwa jina langu nanyi mtapewa Tatizo watu hawataki kumtafuta Mungu wanatafuta miujiza mtaomba poo mtaangaika hadi mtaaingia mahali ambako si sahihi watumishi kumjua huyu ni wa MUngu au huyu msanii lazima uwe na macho ya rohoni
Ndio maana watu wengi wanakata tamaa na dini. Sasa wewe na uchafu wote unaoandika hapa forum eti unasali kwa nabii halafu tena amekusaidia? Basi atakuwa ni Lusifa mwenyewe na wewe ni ibilisi