Nabaki Afrika

Ndio kaja kututangazia kwamba anajenga kijanja janja hahaha kweli box limeshamiri
Kuna umuhimu wa kujenga, siku ukifariki huko wakulete Bongo wakute unaingizwa kwnye nyumba ya Baba yako tena ambayo inavuja, maiti yako inaona aibu.
 
Kuna umuhimu wa kujenga, siku ukifariki huko wakulete Bongo wakute unaingizwa kwnye nyumba ya Baba yako tena ambayo inavuja, maiti yako inaona aibu.

Kama amekumbuka hilo ni vizuri
 
Mbona nilishagajenga zamani tu. Nina mi apartments kibao Msasani na Masaki teh teh teh teh......

USA baby.......

Wacha wee kumbe una mpaka apartments.. Hongera sana box linalipa kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…