Nabaguliwa kisa dini na kabila

Nabaguliwa kisa dini na kabila

Wasabato wanakunywa soda kama kawaida hakuna maandiko yanayozuia kunywa soda,kahawa n.k Ila kuna masomo ya afya yanayotolewa kanisani kuwa soda ina sukari nyingi, usile chumvi nyingi,usipende kahawa,usipende kuku wa kisasa hayo ni masomo ya afya lakini kufanya hivyo si dhambi acheni upotoshaji tena chuoni kwetu wasabato walipikiwa soya badala ya chai.
 
Asante kwa kuyaweka bayana!
 
Pole sana mkuu. Issue ya wasabato ni ngumu mkuu. Kama unavyoona wachangiaji wengi wamejikita kwenye hili.

Nakushauri yafuatayo:

1. Kama unafuata imani yako ya kisabato kwa asilimia 100%, tafuta msabato mwenzako,,,,,, kupata mwingine utakuwa unajidanganya tu. Zama church mabinti kibao nywele natural, masikio hayana matobo OA! Hata pete usivae.

2. Kama utaamua kulegeza(kumbuka utatengwa na wasabato wenzako maana wao ndio WA kwanza kwa UBAGUZI), basi OA umpendae na kuhusu imani amua utakavyo!! Kumbuka imani ni wewe na Mungu wako.

3. Kuhusu kabila hiyo mara nyingi ni maneno tu,,,,, ingawa kweli watu wa Musoma mko kidogo wakali lakini binti unayempenda/anayekupenda, ukali utakuwa uko constructive kwenye maendeleo.... Na wewe ni msomi.

Mungu akutangulie!!
 
Wasabato wanakunywa soda kama kawaida hakuna maandiko yanayozuia kunywa soda,kahawa n.k Ila kuna masomo ya afya yanayotolewa kanisani kuwa soda ina sukari nyingi, usile chumvi nyingi,usipende kahawa,usipende kuku wa kisasa hayo ni masomo ya afya lakini kufanya hivyo si dhambi acheni upotoshaji tena chuoni kwetu wasabato walipikiwa soya badala ya chai.
Kule kitunda kumejaa na asilimia 70 ya wakazi ni Wakurya na ndiyo sehemu inayoongoza kufuga kuku na mayai ya kisasa, sasa ina maana mnahubiri msiyotenda!
Aidha mnajua kabisa kuwa mnawapa sumu wakazi wa Dar na maeneo mengine kwa kuwalisha sumu za hao kuku, lakini ndiyo hivyo tena....tamaa mbele. mauti nyuma!
Mna roho ngumu sana nyie Wakurya cum Wasabato!
 
Sijaona ubaya hao wapenzi wako kukwambia ukweli, kwanza wameelezea vikwazo vya penzi kati yako na wenyewe.

Ukweli ni uhuru.

Endelea kuwalaumu maana hata wewe hujaamua kuyapatia tiba matatizo yako,tafuta msabato pia mkurya yanini shida'

Kwanza ungemshukuru Mungu wako kwa kukuonesha huko ulikofikiria ndiko kumbe siko badala ya kukaa na kuanza kujilaumu na kulalamika hapa.... hata siku moja matatizo hayatatuliki kwa kulalamika.... tafuta mwanamke mnayeendana kwa kila kitu na wapo wengi sana ndio uoe usilazimishe kumbadili mtu kwani matokeo yake yanaweza kuwa na madhara makubwa kuliko huko kulia kwako.... mwanamume hata siku moja halii kwakumkosa mwanamume rafiki :nono:!!!!!
 
I hate people wa hivyo wote mnaabudu Yesu mnatofautiana madhehebu tu nao ni tatizo.
Am sorry to say this dini/imani haina nafasi kwangu zililetwa na wazungu na waarabu kugawa watu.
Leo hii mimi amu muislam sababu nimezaliwa dar pwani ila ningezaliwa Mbeya au Bukoba ningekuwa mkristo.
Siku zote mahusiano ni uamuzi wa mtu those excuses are just rubbish

Stupidity of this kind of thinking ndio huwaongoza wanawake kufanya maamuzi kwa hisia za kiunoni na mwishowe mnaishia kulialia na kujaza kurasa hapa za malalamiko.

Kila imani inaambatana na taratibu fulani ambazo huwezi kuzipuuza. Kwa mfano, wewe umesema ni Muislam na unajua mambo ya ndoa ya Kiislam ni tofauti na ndoa za Kikristo, kwenu mnaoana hata nane kwa mume mmoja, je mtu wa dini nyingine akioana na Muislam hayo huwa anayazingatia au anaongozwa na ashiki baadaye akili zikirudi mnaanza kusumbua watu?

Dini hazikuletwa kutugawanya. Shida ya wengi wetu ni kupenda kuropoka maneno tusiyoyajua au kuyafanyia utafiti. Tunaenda darasani kusoma, na bado tuna akili zile zile za zamani. Mkuu amu, ubaguzi mkubwa katika mahusiano ulikuwapo kabla ya kuja Ukristo.

Acha nikupe mifano ambayo waweza kuwa umeisoma lkn kwa mazoea yetu hukuwahi kutafakari:
1. Tafuta kitabu cha Things Fall Apart cha Chinua Achebe, soma kile uone taratibu za mila na jadi za Pre-Christianity Nigeria halafu uone nini maana ya ubaguzi. Mule kuna Outcasts wakiitwa Osu, hao walikuwa hawaoi wala kuolewa na free men.

2. Rudi hapa hapa Tanzania. Mara ngapi huko vijijini mtu hukatazwa kuoa ukoo fulani kwa sababu tu zamani za kale mtu fulani wa ukoo huo aliugua ugonjwa fulani? Sio mila na desturi ndio zinawakataza Wamasai kuoa au kuolewa na kabila lingine?

Kuzishambulia na kuziita kuwa zilikuja kutugawa ni kushindwa kufikiri. Hapo kabla ya dini walemavu walikuwa wanatupwa au kukimbiwa. Mapacha walitelekezwa na wajane wakarithiwa bila ridhaa zao. Wewe unayeongea hapa, saa hizi, isingekuwa civilization ilioletwa na dini ungekuta umeozwa kwa Libabu la miaka 53 bila ridhaa yako na huruhusiwi kubisha.

Akili za namna hii ndio zilitumika kuwakeketeni. Usiongozwe na hamu za ngono kufikiri kila kitu ni simple.

Huyo Msabato analalama tu aonekane ameonewa, lkn hata yeye mwenyewe anajua matatizo yao. Msabato na Myahudi wameachana padogo sana, lazima kumchukulia kwa tahadhari. Hata mimi binti yangu akiniambia anataka kuolewa na msabato nitanawa mikono na kumuaga
 
Last edited by a moderator:
Aisee umesahau wasabato ni marufuku kula kiti moto na pombe aisee,lakini pasaka wanafanya siku tofauti na wakristo wengine wanaita meza ya bwana ndo pasaka yao. kuhusu krismas hakuna maandiko kwenye Biblia yanayosema kuhusu krismas au ya kuwa krismas ni tarehe 25/Desemba,mimi nina rafiki msabato kinachonifurahisha wasabato ni kama wanazuoni wanabisha kwa kujenga hoja,kwa facts wanasoma Biblia vilivyo ukibisha unapewa kifungu.

Kuwaona hao ni wanazuoni ni sababu ya uelewa wako wa Biblia. Wasabato ni aina fulani ya Wafarisayo Weusi wanaoamini katika mwili zaidi ya roho.

Haya uliyoyaorodhesha hapa usifikiri hatuyajui. Hata sisi tunaoadhimisha Christmas tunajua Yesu hakuzaliwa Tarehe 25, je wao wanaweza kutuambia kazaliwa lini? Ile ni tarehe tu imechaguliwa kwa maadhimisho, hakuna ajuaye Yesu alizaliwa tarehe ngapi.

Hao wanaabudu siku. Yesu alikuwa na shida sana na watu hawa. Kama wanataka kalenda ituongoze kuhusu Yesu kazaliwa lini kwa mtindo wa mrejeo, basi na wao wanapaswa kufahamu kuwa SIKU YA SABA YA JUMA NI IJUMAA. Mosi ni MOJA
 
Kwa kalenda ipi? Yakirumi?
Kiarabu?

Kukariri shida
 
Kazi ipo, kumbe kuna sura nyingine ya udini,tusije kudhani wakristo ni kundi moja, kuna 'wakristo wengine' na 'wasabato!'
Ama kweli ukila nyama ya mtu huwezi kuacha...
 
Mkuu, naona unakosea sana unaposema hutapenda tena. Yaani wasichana zaidi ya milioni kumi uone hawafai sababu ya wawili.
Sikiliza, kuwa wewe, wewe mwenyewe, usiwe wao. Endelea kusaka noti.
 
wathabato ni complicators sana wana base sana kwenye agano la kale, na tafsiri yao katika biblia huwa haingalii, who said this, at what time, to whom, for what reason and what is the implication to the modern era, suala sio wakurya kubaguliwa , hata sisi huwa tunawabagua kwa mfano ukienda home wazee wengi wanatukataza tusioe wachaga hasa wamachame coz wanatabia mbaya ndio maana wamama wengi wanamiliki nyumba za kupangisha kwani waliua wame zao, wahaya wanasema kuwa ni wababe na wanadharau kwa baba na mama mkwe pia mnyakusa wana dai hathamini ndugu, unachotakiwa ni kujiongeza wewe kama wewe, sio lazima uoe mchaga na sioi lazima uoe mkatoliki, wasabato mna imani za ajabu, kuna mdogo wangu tumempeleka NYABEHORE akasome tunashangaa karudi na USABATHO, full complication anaona kusali rozari ni dhambi kubw akuliko hata uzinzi, amekuwa tabia za kujiona bora na KAUSABATO kake
 
Kazi ipo, kumbe kuna sura nyingine ya udini,tusije kudhani wakristo ni kundi moja, kuna 'wakristo wengine' na 'wasabato!'
Ama kweli ukila nyama ya mtu huwezi kuacha...

Acha kukurupuka dogo, Wasabato sio Wakristo. Mkristo maana yake ni Mfuasi wa Kristo, ambaye ni Bwana wa Agano Jipya la Milele.

Wasabato ni Wafuasi wa Musa. Ni aina fulani ya Wafarisayo yenye msimamo wa wastani. Hawa huishi kwa mapokeo zaidi ya Injili. By the way, hatujawabagua, wamejibagua kwa namna yao ya maisha.

Huko kwenye masinagogi yao wamelishana viapo kwamba atakayeoa nje yao watamtenga, sasa nashangaa huyu sijui katokea wapi kusema kuwa kabaguliwa.
 
Kusema ukweli Sabato ni Wakristo, lakini kidogo mna mambo magumu , na ndiyo maana mnahisi kubaguliwa.
Mambo kama yafuatayo ni ishu sana:
-Kutokula nyama
z
-Kutokunywa soda

-Kutokula baadhi ya samaki.

-kutokunywa chai na kahawa.

-kutopika wala kugusa chochote jumamoc.

-chakula cha jmosi kupikwa ijumaa.

-jua likizama ijumaa sabato ishaanza.

-mambo ya lesoni, pathfinderz, makambi etc

-hakuna sikukuu zozote za kikristo.

-hakuna vipindi maalum vya kanisa kama vile Majilio, Kwaresma, Ijumaa kuu na Jumatano ya majivu.

-masharti kama kutokutengeneza nywele kwa mwanamke, wakati mnajua MWANAMKE NYWELE.

-Kutumia na kuamini zaidi agano la kale kuliko jipya.

Kweli mdada anahitaji maamuzi magumu kabisa kuamua kuachana na mambo aliyozowea na kuwa msabato.
Dadaangu wa tumbo moja akiamua kuwa msabato nitamkubalia, lakn nitalia sana na machozi yataenda tumboni.
Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani.....................

Halafu vingi ya vitu vilivyoorodheshwa hapo hata kiafya inashauriwa maana najua wasabato wengi wanafundishwa sana masomo ya afya. So kupanga ni kuchagua. ndio maana wengi wanaona wana udini kumbe wapi ni kawaida tu.

Ila kwa upande wa kabila mmh ni ile mentality imeenea kwenye vichwa vya wengi kuwa watu wa Musoma mmh................ yaani asilimia kubwa ni wakali akipiga mwanamke anaweza hata kuua. nimefanya kazi na bosi wangu mmoja wa msoma alikuwa mnyanyasaji, matusi matusi, rohombaya usiseme, uchoyo balaa, ubinafsi mwanzo mwisho hata kukaa kwenye gari moja na walio chini yake hataki kisa yeye mkubwa na hawezi kukaa na waliochini yake yaani ni mtu wa visa mwanzo mwisho akiondoka nyumbani mafriji anafunga na kufuli wsije wafanyakazi wakajisevia anahesabu mpaka vipande vya nyama lol! wafanyakazi wanaofanya kazi nyumbani kwake inabidi wajibebe chakula na maji ya kunywa hawaruhusiwi kugusa vitu vyake. Sasa ukikutana na mtu wa hivi na unajua anatoka kule si unasema watu wa kule ndio walivyo. Kumbe kuna wachache wema.

So sifa kama hizo zinatisha kwa wengine ukijua ni wa msoma unaanza kuogopa hata kama wapo wachache wazuri.
 
Acha kukurupuka dogo, Wasabato sio Wakristo. Mkristo maana yake ni Mfuasi wa Kristo, ambaye ni Bwana wa Agano Jipya la Milele.

Wasabato ni Wafuasi wa Musa. Ni aina fulani ya Wafarisayo yenye msimamo wa wastani. Hawa huishi kwa mapokeo zaidi ya Injili. By the way, hatujawabagua, wamejibagua kwa namna yao ya maisha.

Huko kwenye masinagogi yao wamelishana viapo kwamba atakayeoa nje yao watamtenga, sasa nashangaa huyu sijui katokea wapi kusema kuwa kabaguliwa.

Mh naona umekuja kunipunguzia hasira mimi mkuu, mi nlikua nasema nielewavyo tu!
Dah udini kweli changamoto, kumbe wasabato sio wakristo?! Hahahah kazi ipo sana.
 
Swali la kipuuzi kabisa, kwani ukiulizwa umezaliwa lini huwa unajibu kwa mujibu wa kalenda gani?

Ndugu hata waroma wanakalenda zao.
Kama katika kalenda za hao wasabato jumamosi ya kalenda tuitumiayo ndio mwisho wa juma wewe utajuaje?

Kuna kalenda tofautitofauti zitumikazo duniani. Kama umekariri hii sasa utakuwa unakosea.

Angalia na mwaka mpya wa kichina ukasema ni february ya kalenda uitumiayo wewe.
 
Mh naona umekuja kunipunguzia hasira mimi mkuu, mi nlikua nasema nielewavyo tu!
Dah udini kweli changamoto, kumbe wasabato sio wakristo?! Hahahah kazi ipo sana.

Ulikuwa una hasira?

Hao sio Wakristo babu, ni Mayahudi. Wala hamna kazi, wanajua position yao, sema huyu aliyeanzisha mada balehe inamsumbua. Ukiwa Sabato hasa, huruhusiwi hata kula kambale, ni full Torati
 
Back
Top Bottom