Naapa mimi The Only sitopenda tena

Naapa mimi The Only sitopenda tena

Atiiii umemjengea hadi mamake aiseee kuna watu ndio maana hutembea barabarani huku wakiongea na upepo. Mimi nilikwambieni hapa zamani warambeni tigo hao sasa ona wenzenu wanazichapa kabang.

Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Haaaaaaaaa mkuu vipi ndo mchezo wako nini kutumia Huduma za tigopesa???
 
Hayo mawazo ya watu waoga. Unajua watu tumetofutiana. Wapo wenye uwezo na wasiona nao.

Binafsi mm nikiona mambo hayajakaa sawa lazima niupate ukweli, na huwa sikosi. Na ninauwezo mkubwa wa kubeba matokeo yoyote yale.. kabla ya kumtema huwa namuonyesha kuwa nimejua madudu yake ili asipate pa kujitetea.
 
Na ndio walivyo, ukijifanya mzungu unamuacha bila ya kujua habar kamili, mzee atakubaldishia kibao mpaka uelewe
 
Poleee! Ila kupenda tena utapenda tu... tena kwa zaidi ya mwanzo
 
Mwanamke ni mchezo wa kubet katika maisha, trust me!
 
Mkuu mwambie unataka kubadirisha paa la nyumba ya mama ake toa bati toa kenchi then iaache hvo hvo, Mungu atakusamehe
 
Wacha nipite tu. Pole lakini ndugu, ila nikukumbushe tu jambo. Ukitaka uwe player, katu usiwe na huruma wala maneno mengi. Hayo mambo ya unachofanya leo mnapeana moyo sijui utakuja kufanyiwa hivyo hivyo wanao, ni msemo mmoja wa kilofa na kipumbavu. Fanya yaliyopo
Golden advice
 
Mke mwema hutoka kwa Bwana...Kabla hujafanya maamuzi ni vema mkaongea na yeye akakiri kutokua mwaminifu.. na kama jitihada za kujirekebisha zimeshindikana, unachukua ustaarabu mwingine. uta hit en run hadi lini? Sifa ya mwanaume ni kupambana na sio kukata tamaa mapema. ndo mali yako hiyo? utambomolea mama yake nyumba? kila binadamu ana mapungufu yake, ndo mzigo wako huo.

NB;kuna mabinti wametulia.hawana makuu..
 
Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.

Huyu pumbafu nimemjengea hadi mamake ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hick simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .

Penye miti hakuna wajenzi,wanaotaka kupwendwa hawapendwi

Pole sana mtu unampenda kiasi kwamba hata mtu akikuita unywe soda unaogopa kuwa wenda mchumba anakuona huendi tena. Unampenda mtu mpaka na mbwa wao na paka wote unawapenda, lakini siku ya siku mtu anakutenda. Anakushushua heshima ,dunia unaiona chungu.

Oh this stupid love.....

Mkuu just do it life is not fair....go on hit and run.

Ee Mungu wape furaha ya moyo wanaopitia kipindi hiki najua haya maumivu ni zaidi ya kupigwa.
 
Kwa nini usim, ufoo saro.
 
Yah am done doing ngoja nijilipie its my time
 
Mkuu mwambie unataka kubadirisha paa la nyumba ya mama ake toa bati toa kenchi then iaache hvo hvo, Mungu atakusamehe

A a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a aiseeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom