Naapa mimi The Only sitopenda tena

Naapa mimi The Only sitopenda tena

Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.

Huyu mtu nimemjengea hadi mamake na ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hack simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
Kumjengea mama mkwe kabla hujaoa mtoto wake!!!!!! Are these kind of creatures still existing in this world?
 
Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.

Huyu mtu nimemjengea hadi mamake na ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hack simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
Any way, mkuu hongera kwa kupata mafunzo, japo kwa gharama kubwa sana.
 
Si tulishawaambia acheni kuhack simu za hawa viumbe?
Ina maana huoni nyuzi za wavulana wenzio zinavyojibiwa pindi wanavyokuja kulia lia humu baada ya kuchungulia simu za wanaowaita wachumba/wake zao?
Jambo la kukumbuka " mke hasomeshwi, na huu msimu vyuo ndio vinaanza kufunguliwa, chukua hatua"
Mkuu kwani tatizo ni ku hack simu ya demu wake au tatizo ni kusalitiwa? I guess asinge hack demu wake angekuwa hamsaliti.
 
Unafungua au kuspy ya nini?
Kama keshaliwa na ukajua utabadili nini..?!
Bata hachunguzwi anachokula mkuu...
Kuuogopa ukweli ni cowardice

Unaposema kama keshaliwa huwezi badili kitu, are you serious? Hivi jamaa kuujua ukweli na kuamua kukaa pembeni, unaona hakijabadilika kitu?
 
Even a virus has an antidote which is an antivirus,
But the guy who invented love didn't give us instructions
That's why we were expecting for Jesus to come on Earth and teach us so we can see how it works
But unfortunately Lord Jesus had no girlfriend
That's why we're blindfold,
That's why we keep trying and struggling,
Sometimes it goes well and sometimes not at all

FALLY IPUPA -BRUCE
 
The only, nikuambie kitu rafiki yangu. You are just hurt, angry and disappointed. Its expected kwa sababu ya betrayal.

Do this, let her go halafu achana na mahusiano kwa sasa. Tuliza akili yako, ponya moyo wako. It will take time I know but utapona na utaona Mungu amekuepusha na a greater mistake. The earlier the better.

Then nikuambie kitu kingine. Love is a beautiful thing ambayo haina mfano. Mungu anatupenda kiasi gani mpaka akaumba kitu kinachoitwa mapenzi? Na utamu wake ni pale two genuine hearts click.

So usijiadhibu na usiwaadhibu wenzio ambao hawana hatia kwa kutopenda. Hit and run is very dangerous and destructive. You know why, unaanzisha mlolongo wa broken lost hearts.

Utakaowatumia huku wakiwa wamekupenda genuinely now wakaapply hiyo ya hit and run like a rolling stone not wanting to gather moss (feelings) unadhani tutaanzisha generation ya watu aina gani who walk around with broken hearts?

Take the high road.... be the bigger man here. Choose kuwa single yet with dignity. Dont hurt others because you might blindly be seeking revenge that might destroy you honey. Because as they say, when seeking revenge, dig two graves.
Nimepapenda hapo ulipomuita honey hadi hasira zake zimeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom