Naapa mimi The Only sitopenda tena

Naapa mimi The Only sitopenda tena

Tatizo hivi atufikiri sisi tu, Kuna sister rafiki yangu ukiongea habari za mapenzi na yeye kauli zake ndo kama hizi anakuambia habari za kupenda azitambui tena ukijichanganya anakuumiza.

So atupo peke yetu katika swala la hit & run ni kuwa makini tu watu wa jinsia zote ukiinga katika mahusiano ingia kwa akili. Me mtoto nimemsubiri miaka kazaa napanchi watoto wazuri kibao kisa yeye alafu siku ya siku kaamka tu asubuhi ananiambia tuachane sikutaki tena ahaaa nilikuwa tayari kwenda job bado kidogo nirudi kulala.
 
sawa mkuu
 
Sasa usimwambie huyo Mwanamke wala nini, fanya hivi nenda kamwambie baby naona tumbadilishie mama paa la nyumba tumuekee la kisasa zaidi.

Akikubali ita mafundi ng’oa paa lote kisha ondoka nalo. Baadae mpigie simu mpe makavu yake na umwambie ndo mwisho wetu

Hii ni mbinu ya kivita mara nyingi wanatumiaga macomandoo
 
MAMAKE NAMUHESHIMU KAMA MAMA NA HAPA HAHUSIKI MIMI NAMUUMIZA MTOTO TUU
 
Kuna jamaa yetu mmoja alivurugwa kama hivo hivo miaka kadhaa iliyopita, kamfukuzia mama mtu hadi mwanzoni mwa mwaka huu kampata mama mtu na sasa kawa kiben10 unaambiwa mama haambiwi hasikii
Kwahyo akawa kiben10 kwa mama mkwe au sijaelewa
 
Teh teh actually sio nilinunua kiwanja na kujenga wana nyumba uswazi ,sasa wakati tunadate na nkamchumbia nilipatana sana na mama mkwe kiasi nyumba yao nilisafisha vyoo vya kisasa sebule masofa na fridge na tv kali nikiamini huyu ndo bibi wa my children to be,nadhani around 5 m ilitoka lakini kwa yule mama mchamungu sina kinyongo.ila najiuliza kuhusu huyu paka anaelala hadi na babangu mdogo
Hahaha eti paka
All in all usirudie kumuamini mwanamke hata kama kakuzalia
 
Sasa usimwambie huyo Mwanamke wala nini, fanya hivi nenda kamwambie baby naona tumbadilishie mama paa la nyumba tumuekee la kisasa zaidi.

Akikubali ita mafundi ng’oa paa lote kisha ondoka nalo. Baadae mpigie simu mpe makavu yake na umwambie ndo mwisho wetu

Hii ni mbinu ya kivita mara nyingi wanatumiaga macomandoo
Nimeipenda
 
The only, nikuambie kitu rafiki yangu. You are just hurt, angry and disappointed. Its expected kwa sababu ya betrayal.

Do this, let her go halafu achana na mahusiano kwa sasa. Tuliza akili yako, ponya moyo wako. It will take time I know but utapona na utaona Mungu amekuepusha na a greater mistake. The earlier the better.

Then nikuambie kitu kingine. Love is a beautiful thing ambayo haina mfano. Mungu anatupenda kiasi gani mpaka akaumba kitu kinachoitwa mapenzi? Na utamu wake ni pale two genuine hearts click.

So usijiadhibu na usiwaadhibu wenzio ambao hawana hatia kwa kutopenda. Hit and run is very dangerous and destructive. You know why, unaanzisha mlolongo wa broken lost hearts.

Utakaowatumia huku wakiwa wamekupenda genuinely now wakaapply hiyo ya hit and run like a rolling stone not wanting to gather moss (feelings) unadhani tutaanzisha generation ya watu aina gani who walk around with broken hearts?

Take the high road.... be the bigger man here. Choose kuwa single yet with dignity. Dont hurt others because you might blindly be seeking revenge that might destroy you honey. Because as they say, when seeking revenge, dig two graves.
The best advice of the thread may God almighty bless u
 
Wakati mwezako anaonyesha utundu na kulamba mpaka mkund. Wewe uko busy na ujenzi. Hapo lazima upate taabu sana, bora umestuka mapema.
 
Teh teh actually sio nilinunua kiwanja na kujenga wana nyumba uswazi ,sasa wakati tunadate na nkamchumbia nilipatana sana na mama mkwe kiasi nyumba yao nilisafisha vyoo vya kisasa sebule masofa na fridge na tv kali nikiamini huyu ndo bibi wa my children to be,nadhani around 5 m ilitoka lakini kwa yule mama mchamungu sina kinyongo.ila najiuliza kuhusu huyu paka anaelala hadi na babangu mdogo
Mpige machine huku unayachapa mat.a.ko yake mkuu
 
Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.

Huyu mtu nimemjengea hadi mamake na ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hack simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
Mchumba hasomeshwi.... Ova
 
Back
Top Bottom