Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,151
- 137,147
Nihasira tuu izo,ngoja ziishe utaona jinsi moyo unavyokuwaga na kiherehereeThanx broda i promise to be a royal member
Haha, yeah yeah.Hey you!
You know how much I love me some awesomeness!
WahangaaPole saana mkuu, mwenyewe nina kilio changu hapa
Poyeeemkuu hawa wanawake watatuua
The comment of the day .umefanikiwa kuwaokoa niliowatarget kuwaumiza ,lakini ukweli siwezi kuishi bila mahusiano hivyo ntajitahidi kupunguza kuumiza wengi kwani kwa sasa hata jana kuna dada aliniambia ananipenda kwenye pombe nilimuwashia moto sana na matusi yaani naona kama ananirudisha shimo la moto ,asubuhi nimemtaka radhi na nikamsimulia na kumuapia ataambulia maumivu tu kwanguThe only, nikuambie kitu rafiki yangu. You are just hurt, angry and disappointed. Its expected kwa sababu ya betrayal.
Do this, let her go halafu achana na mahusiano kwa sasa. Tuliza akili yako, ponya moyo wako. It will take time I know but utapona na utaona Mungu amekuepusha na a greater mistake. The earlier the better.
Then nikuambie kitu kingine. Love is a beautiful thing ambayo haina mfano. Mungu anatupenda kiasi gani mpaka akaumba kitu kinachoitwa mapenzi? Na utamu wake ni pale two genuine hearts click.
So usijiadhibu na usiwaadhibu wenzio ambao hawana hatia kwa kutopenda. Hit and run is very dangerous and destructive. You know why, unaanzisha mlolongo wa broken lost hearts.
Utakaowatumia huku wakiwa wamekupenda genuinely now wakaapply hiyo ya hit and run like a rolling stone not wanting to gather moss (feelings) unadhani tutaanzisha generation ya watu aina gani who walk around with broken hearts?
Take the high road.... be the bigger man here. Choose kuwa single yet with dignity. Dont hurt others because you might blindly be seeking revenge that might destroy you honey. Because as they say, when seeking revenge, dig two graves.
I understand you being broke is never easy,endelea kuwa na juhudi utapata one day yesDogo hizi stori zq kujitungia mnazipenda sana usikute wewe unaishi kwa Landlord hata kiwanja hujawahi kuuliza bei, hafu unaleta ngojera za kumjengea mama wa demu wako nyumba labda kama umejenga banda LA kufugia kuku.
Unamjengeaj demu ?Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.
Huyu pumbafu nimemjengea hadi mamake ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hick simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
Very right"One of my biggest mistake in my life is thinking people will show me the same love I've shown them.."
Teh teh actually sio nilinunua kiwanja na kujenga wana nyumba uswazi ,sasa wakati tunadate na nkamchumbia nilipatana sana na mama mkwe kiasi nyumba yao nilisafisha vyoo vya kisasa sebule masofa na fridge na tv kali nikiamini huyu ndo bibi wa my children to be,nadhani around 5 m ilitoka lakini kwa yule mama mchamungu sina kinyongo.ila najiuliza kuhusu huyu paka anaelala hadi na babangu mdogoUnamjengeaj demu ?
Anyway mimi kama katibu wa chawapeta (chama cha wasiopenda Tanzania) nakukaribisha. Katibu mkuu wetu ni dk le mutuz
hahahahah...Acha kabisa threads nyingi humu masela wanalia..daah huyu kasalitiwa mara tena huyu analamika wanaombwa pesa daah leo naenjoy sanaNaona hii ni week ya wana kulialia.
The comment of the day .umefanikiwa kuwaokoa niliowatarget kuwaumiza ,lakini ukweli siwezi kuishi bila mahusiano hivyo ntajitahidi kupunguza kuumiza wengi kwani kwa sasa hata jana kuna dada aliniambia ananipenda kwenye pombe nilimuwashia moto sana na matusi yaani naona kama ananirudisha shimo la moto ,asubuhi nimemtaka radhi na nikamsimulia na kumuapia ataambulia maumivu tu kwangu