Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Mkuu hapo ni mke asomeshwi au mchumba?Si tulishawaambia acheni kuhack simu za hawa viumbe?
Ina maana huoni nyuzi za wavulana wenzio zinavyojibiwa pindi wanavyokuja kulia lia humu baada ya kuchungulia simu za wanaowaita wachumba/wake zao?
Jambo la kukumbuka " mke hasomeshwi, na huu msimu vyuo ndio vinaanza kufunguliwa, chukua hatua"
Mchumba ndo asomeshwi ila mke kama kawaida but katika uangalizi yakinifu.

