Naapa mimi The Only sitopenda tena

Naapa mimi The Only sitopenda tena

Mzee watu wametoa figo zao na wakasalitiwa nyumba tu unalialia ,kumbe ulijenga nyumba kama kishikilia penzi na sio kwa mapenzi ya dhati ndo maana vyote havijakuuma ila nyumba tu ndo imekuuma. Hiyo tunaita tenda wema
nenda zako usingojee shukrani
 
Back
Top Bottom