Naapa mimi The Only sitopenda tena

Naapa mimi The Only sitopenda tena

Si tulishawaambia acheni kuhack simu za hawa viumbe?
Ina maana huoni nyuzi za wavulana wenzio zinavyojibiwa pindi wanavyokuja kulia lia humu baada ya kuchungulia simu za wanaowaita wachumba/wake zao?
Jambo la kukumbuka " mke hasomeshwi, na huu msimu vyuo ndio vinaanza kufunguliwa, chukua hatua"
 
Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.

Huyu pumbafu nimemjengea hadi mamake ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hick simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
Sasa umekuwa. Karibu kiumeni.
Next timw usije uka wekeza kwa mwanamke kiasi hiko ... utaumia everyday.
Hawa ni mama zetu, dada zetu , wadogo zetu lakin ishi nao kwa akili... mara nyingi ukijifanya umezama kwenye penzi wanakuliza hapo hapo. So mzee sasa hiv wasome tu kwa mbali...

Kuhusu kuwa player decision ni yako sasa.. either kuachana nao kabisa au uwatungue everyday
 
Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.

Huyu pumbafu nimemjengea hadi mamake ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hick simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
Dogo hizi stori zq kujitungia mnazipenda sana usikute wewe unaishi kwa Landlord hata kiwanja hujawahi kuuliza bei, hafu unaleta ngojera za kumjengea mama wa demu wako nyumba labda kama umejenga banda LA kufugia kuku.
 
Si tulishawaambia acheni kuhack simu za hawa viumbe?
Ina maana huoni nyuzi za wavulana wenzio zinavyojibiwa pindi wanavyokuja kulia lia humu baada ya kuchungulia simu za wanaowaita wachumba/wake zao?
Jambo la kukumbuka " mke hasomeshwi, na huu msimu vyuo ndio vinaanza kufunguliwa, chukua hatua"
Simu afungue pale anapokuwa na mashaka na mwenzie. Lakin kama ana roho nyepesi asijaribu.

Ila kama anaroho ngumu kama akina sisi wazoefu wa ku spy ..mbona kawaida tu. Unamjua unaeishi nae sio
 
Wacha nipite tu. Pole lakini ndugu, ila nikukumbushe tu jambo. Ukitaka uwe player, katu usiwe na huruma wala maneno mengi. Hayo mambo ya unachofanya leo mnapeana moyo sijui utakuja kufanyiwa hivyo hivyo wanao, ni msemo mmoja wa kilofa na kipumbavu. Fanya yaliyopo
 
Mkuu haya mambo yapo tu, kwa mtu ambaye hayajamkuta atachukulia poa alafu atakuona kama umekurupuka, ila sie tunaojua kuumiza na kuumizwa hatushangai, ila tunasemea kimoyomoyo jamaa kajionea mwenyewe. Mkuu pole sanaaaa HAPO NDO UMEFUDHU MAPENZI,, Kama hujaumizwa kuwa mpole.
 
Back
Top Bottom