DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,726
- 81,769
Mkuu hiyo Hali itapita usifanye hivyo Maana Mama ako Atumuachia majonzi au kajiulie mbali bila kutoa Taarifa kwa Mama ako mzazi.Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Mama yako et anakupenda ila Hana maisha afu unasema baba Hana msaada ,, kwann na Yeye usiseme Hana maisha Kama mamako?Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Hyo ndo sababu ya kutaka kujiua?Miaka 21, nimefaulu masomo yangu ya kidato cha sita mwaka 2021, nikashindwa kuendelea kwa kukosa mkopo, nimepanga vyumba viwili na mama yangu pamoja na mdogo wangu
Kashajiua kaushaKuwa muwazi unahitaji nini kwasasa ili ughairi kujitoa uhai?
Ni ada au?
Very cool mkuuAsante
Jibu swali hili kabla hujafanya chochote,upo mkoa na wilaya gani hivi sasa?Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Watu wabaya nyie lohWho are you, and why should we care about your death?
Sio tu akomae,akomae asifanye hivyo na pia wahi hospitali iliyo karibu kwani yote hayo ni dalili za ukichaaa, hivyo asikubali kufanya uamuzi wa ukichaa.Usijiiue mkuu komaaa.
He's attention seeker, we can give it to him 😂Watu wabaya nyie loh
Maisha ni kupambana tu, mtoa mada atambue kujiua haijawahi kuwa suluhu ya matatizo ya kimaishaKujiua ni matokeo ya uoga wa maisha
Mbona leo asb nilivyokwambia nataka kujiua kwaajili ya ile issue ulinifariji? NikaghairiHe's attention seeker, we can give it to him 😂
Hebu njoo pm tuongeeKama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
You were affirmative not seeking for attention. And I care about your well-being.Mbona leo asb nilivyokwambia nataka kujiua kwaajili ya ile issue ulinifariji? Nikaghairi