Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
utaelewa tu,
Wajifagilia jamaa
Jerrymsigwa mbona unaniua mtu wangu!Ajipa promo
"Man mbona kifua chako unazo six packs halafu umekiacha kina nywele?". Mmmh! Nikamjibu kwa kutabasamu kwamba, "Mimi nina asili ya nywele kifuani na hata miguuni hivyo mara chache sana huwa ninapunguza nywele kwani vp?". Akaishia kucheka akasema Garden Love sio ishu miaka hii, six packs ina mvuto sana miaka hii. Nami nikabaki nacheka sina la kumjibu.
Hivi mkuu hii yangu si ndio wanaita 7 pax eeh?
hahahah tinna cute chezea kurushwa maji?
Kizazi cha dotcom hiki mwana mambo hadharani, hawamind msitu na nyika, siku hizi ukiwa na ma six pack vimwana ndo wanashobokea so fanya palizi mzee mzima hahahaha
some people don't like licking/kissing hairy surfaces. pia when cuddling wanapenda kulala kwenye kifua smooth (non hairy) 🙂.....
Vp kuhusu nyie mtazamo wenu! Kuna umuhimu gani kati ya Garden love na six packs?! Naombeni mnifungue macho wadau, please!!!