Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Izii chumaa tunazoo nyenyua sinasikia zina punguzaga pulingii?
kwani nusu unamaliziaa kwa gmu ukifika kwa bed kama ulikua uki piga 2 uta ishia mojaa?

Uwongo huo, mbona mimi nipo okay kabisa
 
nahisi mimi wa kale sana "GARDEN LOVE". nazifil ile mbaya naomba tu husije onyesha huku maana utanipa shida bure mtoto wa watu
sablack babe nimekuelewa mrembo
 
Last edited by a moderator:
Hata kama anayo a hundred packs,Wallet inasoma?? Hizo packs zinasaidia nini?
 
Me nina full ma-garden na yanawachanganya watoto wa kike.Kwa upole et, "nafeel niko na mtu wa kitofauti kweli ukinilalia,na anayashangaaa"
 
Hayo magadern a.k.a bustani za nywele sio ishu, nini hiyo mtu unakuwa ka umelala na nyani minywele kibao ndo maana huko majuu wanafanya waxing kifua kionekane kisafi kama cha binadamu

Waxing!!!!?????.. ndo nn hii?
 
Me nina full ma-garden na yanawachanganya watoto wa kike.Kwa upole et, "nafeel niko na mtu wa kitofauti kweli ukinilalia,na anayashangaaa"

kweli,me mwenyewe nazipenda sana,akitoka kuoga hadi raha znavoonekana,zisiwe kipilipili tu
 
Sanaa ina raha yake bana asikwambie mtu
Kila kitu cha asili kina raha yake bwana,Garden ina raha yake,mtu hazaliwi na kitambi ila mlo tu.....ok ukiwa na asili ya nyele kifuani usitoe kuna wengine wanapenda bt six pack sio kitu asili,kinatengenezwa na mazoezi na diet.penda mwili wako wewe mwenyewe kwanza kabla ya kuomba upendwe.
 
Kapuya hana six packs ila na kitambi chake anawakamata...
Six packs bila hela,nenda kawe mlinzi bills ama maisha clubs.
Arafat ngumi jiwe na six packs zake watu wamemgegeda..

"Nlikiwepo":bolt:
 
Ndugu wana JF,

Juzi Ijumaa jioni nilikuwa nafanya mazoezi uwanjani kama kawaida yangu, lakini ilinibidi nijiongezee muda kidogo wa mazoezi kwa kujianzishia program ya mpira wa miguu ili niweze kulifresh na pia mwili wangu upate nafasi nzuri ya kurelax angalau. Sasa cha ajabu wakati najiandaa na program ya mpira wa miguu, nilivua tshirt yangu ya juu ya mazoezi na kuvaa jezi ya mpira wa miguu, wakati navua tshirt na kuomba kupewa jezi, mkufunzi na baadhi ya wadau walinishangaa kuona kifua changu kina nywele ambapo nasikiaga watu wanaitaga sijui "GARDEN LOVE". Nami nikahamaki kwa muda, mmoja wao akaniambia kwa njia ya kuniuliza, "Man mbona kifua chako unazo six packs halafu umekiacha kina nywele?". Mmmh! Nikamjibu kwa kutabasamu kwamba, "Mimi nina asili ya nywele kifuani na hata miguuni hivyo mara chache sana huwa ninapunguza nywele kwani vp?". Akaishia kucheka akasema Garden Love sio ishu miaka hii, six packs ina mvuto sana miaka hii. Nami nikabaki nacheka sina la kumjibu.

Vp kuhusu nyie mtazamo wenu! Kuna umuhimu gani kati ya Garden love na six packs?! Naombeni mnifungue macho wadau, please!!!

Mpaka Leo bado Una Hizo Nywele? Angalia Usije Ukawa bado Hujabadilika Kutoka ktk Usokwe Kuja Kuwa Binadamu!!!!
 
Habari yoyote inayowakilishwa kwa mtindo wa 'nafsi ya kwanza umoja' huwa naiona kama advert fulani vile...
umenikumbusha kipindi hicho nafanya makosa ili nipewe adhabu za nje ili mradi nisingie kwenye kipindi cha kiswahili na maneno yake kama vivumishi vya sifa, idadi na vihisishi! hili somo balaa!
 
Back
Top Bottom