Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Una nini nami shem!??


tinna cute mimi sifahamu kama six pack zinakaa kifuani!!!

Hebu nifahamishe...

Hahahahaa!!!! mpenzi six pack usiangaike kujua iliko me naangalia perfomance yako kwa bed na cash flow tu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nahisi mimi wa kale sana "GARDEN LOVE". nazifil ile mbaya naomba tu husije onyesha huku maana utanipa shida bure mtoto wa watu
 
Hayo magadern a.k.a bustani za nywele sio ishu, nini hiyo mtu unakuwa ka umelala na nyani minywele kibao ndo maana huko majuu wanafanya waxing kifua kionekane kisafi kama cha binadamu
 
Six packs2.jpg
 
Back
Top Bottom