Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 534
Jana mama watoto kaniambia nina 5packs kwaiyo na mimi nijitutumue niwe na hiyo 6packs sijui nitaipataje
Hahahahaaa....hii ya kwako kali
Jana mama watoto kaniambia nina 5packs kwaiyo na mimi nijitutumue niwe na hiyo 6packs sijui nitaipataje
Na sie mwenye vitambi je...?
Mkuu mimi sina hizo features zote na pia sina kitambi...
Ninapendeka hivi nilivyo kwa kuwa sihitaji kupendwa na wanawake wote, bali mwanamke mmoja tu...
Kwa namna hivyo ulivyo yupo au wapo wanawake wataovutiwa nawe...wala hizi story zisikusumbue mkuu la sivyo wenye vitambi wasingependwa.
...kuniuliza, "Man mbona kifua chako unazo six packs ...".
Hahaha hata one pack sina ila pesa ninayo tinna cute...lol