Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
4,936
Reaction score
3,548
Ndugu wana jamvi,
Baada ya kukaa na "kibelly" kwa miaka kadhaa na kuwa perceived kuwa chambichambi si haba sasa nimeona maslahi ya hii appearance hayalipi. Kila mchimba chumvi akija anaperception hapa shida zake zimekwisha, kisa eti "belly" is positively associated with chambichambi. Sasa nipo kwenye maandalizi rasmi ya kutengeneza izo 6 packs au hata kama 8 packs zipo ntazitengeza ili niondoe hii tasfiri lakini pia niweze kutafuna vile vikuku vilaini laini vinavyopenda packs. Ni njia gani rahisi ya kutoa hii kitu na kujenga hizi packs?
NB: Njia ya GYM naijua ila hiyo njia ni ndefu sana na inachosha
 
Tafute hela ndugu yangu, hayo mengine ni mbwembwe tu za maisha.
Fanya mazoezi ya kujiwe physically fit sio kutafuta six pack kwa ajili ya kupata mademu.
Fwedha ndio mpango mzima hapa mjini.
 
Ndugu wana JF,

Juzi Ijumaa jioni nilikuwa nafanya mazoezi uwanjani kama kawaida yangu, lakini ilinibidi nijiongezee muda kidogo wa mazoezi kwa kujianzishia program ya mpira wa miguu ili niweze kulifresh na pia mwili wangu upate nafasi nzuri ya kurelax angalau. Sasa cha ajabu wakati najiandaa na program ya mpira wa miguu, nilivua tshirt yangu ya juu ya mazoezi na kuvaa jezi ya mpira wa miguu, wakati navua tshirt na kuomba kupewa jezi, mkufunzi na baadhi ya wadau walinishangaa kuona kifua changu kina nywele ambapo nasikiaga watu wanaitaga sijui "GARDEN LOVE". Nami nikahamaki kwa muda, mmoja wao akaniambia kwa njia ya kuniuliza, "Man mbona kifua chako unazo six packs halafu umekiacha kina nywele?". Mmmh! Nikamjibu kwa kutabasamu kwamba, "Mimi nina asili ya nywele kifuani na hata miguuni hivyo mara chache sana huwa ninapunguza nywele kwani vp?". Akaishia kucheka akasema Garden Love sio ishu miaka hii, six packs ina mvuto sana miaka hii. Nami nikabaki nacheka sina la kumjibu.

Vp kuhusu nyie mtazamo wenu! Kuna umuhimu gani kati ya Garden love na six packs?! Naombeni mnifungue macho wadau, please!!!
 
Eti wengine wanasema n uchafu???mmmm mi penda sana both!
 
Kizazi cha dotcom hiki mwana mambo hadharani, hawamind msitu na nyika, siku hizi ukiwa na ma six pack vimwana ndo wanashobokea so fanya palizi mzee mzima hahahaha
 
Ndugu wana JF,

Juzi Ijumaa jioni nilikuwa nafanya mazoezi uwanjani kama kawaida yangu, lakini ilinibidi nijiongezee muda kidogo wa mazoezi kwa kujianzishia program ya mpira wa miguu ili niweze kulifresh na pia mwili wangu upate nafasi nzuri ya kurelax angalau. Sasa cha ajabu wakati najiandaa na program ya mpira wa miguu, nilivua tshirt yangu ya juu ya mazoezi na kuvaa jezi ya mpira wa miguu, wakati navua tshirt na kuomba kupewa jezi, mkufunzi na baadhi ya wadau walinishangaa kuona kifua changu kina nywele ambapo nasikiaga watu wanaitaga sijui "GARDEN LOVE". Nami nikahamaki kwa muda, mmoja wao akaniambia kwa njia ya kuniuliza, "Man mbona kifua chako unazo six packs halafu umekiacha kina nywele?". Mmmh! Nikamjibu kwa kutabasamu kwamba, "Mimi nina asili ya nywele kifuani na hata miguuni hivyo mara chache sana huwa ninapunguza nywele kwani vp?". Akaishia kucheka akasema Garden Love sio ishu miaka hii, six packs ina mvuto sana miaka hii. Nami nikabaki nacheka sina la kumjibu.

Vp kuhusu nyie mtazamo wenu! Kuna umuhimu gani kati ya Garden love na six packs?! Naombeni mnifungue macho wadau, please!!!

cheezea wadada wa mujini wewe utasikia na kuwa na kifriji cha kiana wewe subiri tu..
 
Six packs ndo nini wajameni?

six packs.jpg
 
Habari yoyote inayowakilishwa kwa mtindo wa 'nafsi ya kwanza umoja' huwa naiona kama advert fulani vile...

Mkuu watu8 wala sitafuti kiki, haya ni mambo ya kawaida tu. Mwanaume anapendwa kwa pesa zake tu sana sana. Jaribu kutoa mtazamo wako kuhusu hoja ya garden love na six packs
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom