zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,069
Na sie mwenye vitambi je...?
Mkuu watu8 wala sitafuti kiki, haya ni mambo ya kawaida tu. Mwanaume anapendwa kwa pesa zake tu sana sana. Jaribu kutoa mtazamo wako kuhusu hoja ya garden love na six packs
Six packs ni misuli ya tumboni ambayo inamtokea mtu anaepiga sana mazoezi ya kata tumbo.... inaonekana kama vi tofali flani hiv.... try to google picha ya baunsa mmoja then umuangalie tumboniSix packs ndo nini wajameni?
Six packs ni misuli ya tumboni ambayo inamtokea mtu anaepiga sana mazoezi ya kata tumbo.... inaonekana kama vi tofali flani hiv.... try to google picha ya baunsa mmoja then umuangalie tumboni
kwahyo unavyote
wape pole sana maana huyo lazima abdalakichwazi atakuwa ni mdogo sana
ningekuwa wa kike ningepata nafasi nzuri sana ya kukujibu..la sivyo ntakudanganya kama ninavyodanganywaNdiyo mkuu lakini sioni kama ni ishu. Navyojua mimi pesa huwa inaongea. Vipi kati ya garden love vs six packs, toa mchango wako mkuu.
Mmmh.... Kila kitu kwa kiasi..!